TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

nyuma ya eneo la masai au kabla ya kituo cha masai nataka fika huko
 
Msiba hauna chama, na kama alivyoandika Kibacha, walioalikwa ni vijana wote bila kujali vyama.

Usimwamshe huyo,ucje ulale FOFOFO tukakosa busara zako kaka... KILAZA huyo Mr EBO alikuwa mpiganaji na mwanaharakati wa ukweli...hdkuwa ktk group ya NDIYO MZEE na misafara ya MAGAMBA, pia ni Kijana na huu ni ulimwengu wa vijana
 
patamu hapo ingependeza Lema akutane na Meya wa Arusha kila mmoja akitaka kuongoza mazishi.
Na ndicho kitakacho tokea meya atakuwepo lazima maana ni kwenye kata yake na lema atakuwepo sasa ngoma ni kwenye utambulisho...Lyimo aibu aliyoipata jana leo itakuwa ni zaidi maana jana ilikuwa kaisani kidogo watu huwa wapole sasa kwenye msiba...hahahahaah sipati picha
 
Jibu swali Lema ni nani kwenye familia ya Mr Ebo mpaka apange mazishi awaite wanaharakati wa Chadema?


mchaga mwenzake,hujui wachaga wanapendana?mkuu hivi we kabila gani?usikute mkweree wale wasio na mbele wala nyuma
 
mchaga mwenzake,hujui wachaga wanapendana?mkuu hivi we kabila gani?usikute mkweree wale wasio na mbele wala nyuma

Mr Ebo sio Mchagga, ni Mmasai..

Kwa hiyo misiba yote ya Arusha Lema ndio anapanga? Mkuu mimi nimechanganya Mchagga wa Kibosho, na Mchagga wa Kishimundu
 
R.I.P mr ebbo,umeutangaza vizuri utamaduni wa mmasai,still hard to blv that u r gone...
 
Kwani Mr Ebo alikuwa chadema? kadi namba ngapi? kama sivyo kwa nini na CCM, TLP, UDP wasiende tu kumzika mtanzania mwenzetu alikuwa mtu wa watu wote na alituimbia wote bila kujali chama!!!!!!!!!

Kweli akili zako ziko FOFOFO!
Anyway, kwa kukusaidia ni kwamba Lema ni mbunge wa Arusha mjini, na tukio lipo kwenye jimbo lake, vile vile Mr. Ebbo alikuwa mwanaharakati wa kupinga uonevu dhidi ya mafirauni kwa wewe unayetumia makalio kufikiri!
Suala la Mazishi si ya kichama, kumbuka misiba mingi iliyowahi kutoka hivi karibuni unakuta Jk na Mbowe wanakutana uso kwa uso, Mfano mzuri kwenye mazishi ya Mzee Mareale, Viongozi wa Serikali walishiriki, na Mbowe naye alishiriki. sasa hapo unataka kutuambia Mzee Mareale alikuwa na kadi ya ccm na chadema?
Ficha upumbavu wako, usifiche hekima yako!
 
rest in piece kiongozi wetu Mungu akupumzishe maali pema peponi AMEN
 
Mungu wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mr.Ebbo kafa??

Ondoa question mark then pigia mstari hilo ni jibu sio swali........ Mliopo ARS tuwekeeni basi picha mtusogeze karibu zaid na hilo tukio
 
Jamani au kwa sababu Ebo alikuwa maarufu mbona Lema hakuja kifo cha mama yangu hapa hapa Arusha...... siasa bana zinabagua sijui kwa maslahi ya nani. kila jambo linabebwa kulingana na litakavyosaidia siasa.
Tupatie sifa za mama yako inawezekana labda alikuwa na sifa za ziada wengine hatuzijui..
 

Mkuu unaidhalilisha hiyo id yako!
 
Mr Ebo ulipokuwa unaumwa hatukuona cha CCM au chadema wakigombania kukuponya lakini leo chadema wanagombania maiti yako dhidi ya ccm
ACHA UMBEA WEWE ALIYEKWAMBIA MAITI YA MR ABEL NI YA CCM NA CHADEMA WANAIGOMBEA NI NANI?kwani Lema c anaenda mazishini kama watu.wengine? ACHENI PROPAGANDA ZISIZO NA MAANA!
 
Bangi+ujambazi wa magari
 
Jibu swali Lema ni nani kwenye familia ya Mr Ebo mpaka apange mazishi awaite wanaharakati wa Chadema?
Achana na Lema mmemponza Nepi leo anahangaika peke yake kutetea kitumbua tabia yenu haipishani na m/kiti wenu mnamtumia mtu mwisho mnamtupa kama mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…