N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 560
RIP Motika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 42764View attachment 42764rip abel motika
usimfananishe mr.ebo na MJ kwa sababu ni watu wa wawili tofauti hata hivyo mashabiki wa marekani na bongo ni tofauti..mashabiki wa marekani wana love ya ukweli na wananunua kazi tofauti na bongo.Toa mfano ni msanii gani wa bongo aliyefariki na kuuza copy nyingi(baada ya kifo chake).Mimi naongelea sana kwa upande wa watangazaji koz ebo aliugua kwa zaidi ya miezi 6 bt no one cared abt it,alivyokufa ndo waleta uzandiki yoo
kazi!!!Ni kweli hata mimi nimesikia jamaa alikuwa kachoka haswa rangi ya ngozi yake ilibadilika ikawa nyeusi kama mpingo.
Mr. Ebbo ameugua kwa muda mrefu sana, aliletwa Arusha akitokea Tanga alikokuwa akifanya shughuli zake za muziki akiwa hoi bin taaban.
Tanga alikuwa na msichana wake anaitwa Rose naye alikufa kwa magonjwa hayo hayo ya UK.
Baada ya hapo akaokoka na kurekebisha njia zake.
Wito wangu kwa wasanii na jamii kwa ujumla, wacheze salama, ukimwi upo na unaua.
ni wapi sasa?mbona hamuelezi direction ya eneo la tukio?
Kwani Mr Ebo alikuwa chadema? kadi namba ngapi? kama sivyo kwa nini na CCM, TLP, UDP wasiende tu kumzika mtanzania mwenzetu alikuwa mtu wa watu wote na alituimbia wote bila kujali chama!!!!!!!!!
Jamani au kwa sababu Ebo alikuwa maarufu mbona Lema hakuja kifo cha mama yangu hapa hapa Arusha...... siasa bana zinabagua sijui kwa maslahi ya nani. kila jambo linabebwa kulingana na litakavyosaidia siasa.