Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe halikuhusu si uchapike....Tangazo hili ni kwa manufaa ya nani? Ni hulka ya chama kipi?
Lema ni mbunge wa Mr Ebo,ccm walishindwa
Msiba hauna chama, na kama alivyoandika Kibacha, walioalikwa ni vijana wote bila kujali vyama.
Na ndicho kitakacho tokea meya atakuwepo lazima maana ni kwenye kata yake na lema atakuwepo sasa ngoma ni kwenye utambulisho...Lyimo aibu aliyoipata jana leo itakuwa ni zaidi maana jana ilikuwa kaisani kidogo watu huwa wapole sasa kwenye msiba...hahahahaah sipati pichapatamu hapo ingependeza Lema akutane na Meya wa Arusha kila mmoja akitaka kuongoza mazishi.
Jibu swali Lema ni nani kwenye familia ya Mr Ebo mpaka apange mazishi awaite wanaharakati wa Chadema?
mchaga mwenzake,hujui wachaga wanapendana?mkuu hivi we kabila gani?usikute mkweree wale wasio na mbele wala nyuma
Kwani Mr Ebo alikuwa chadema? kadi namba ngapi? kama sivyo kwa nini na CCM, TLP, UDP wasiende tu kumzika mtanzania mwenzetu alikuwa mtu wa watu wote na alituimbia wote bila kujali chama!!!!!!!!!
Mungu wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mr.Ebbo kafa??
Tangazo hili ni kwa manufaa ya nani? Ni hulka ya chama kipi?
Tupatie sifa za mama yako inawezekana labda alikuwa na sifa za ziada wengine hatuzijui..Jamani au kwa sababu Ebo alikuwa maarufu mbona Lema hakuja kifo cha mama yangu hapa hapa Arusha...... siasa bana zinabagua sijui kwa maslahi ya nani. kila jambo linabebwa kulingana na litakavyosaidia siasa.
Hii tabia kwa redio zetu za hapa nchini imekuwa ni sugu pale msanii anapofariki dunia ndipo nyimbo zake zinapigwa kwa wingi sidhani kama ni tabia ni nzuri kwani huongeza hudhuni kwa wafiwa na watu wake wa karibu.mimi binafsi tangu jana nilipokuwa nikisikiliza nyimbo zake kwenye radio huwa natamani kutokwa na machozi kutokana na uzandiki wa watangazaji wetu hawa na mapenzi yangu juu ya Mr.Ebbo.Kwani hata kama mkizipiga nyimbo zake kwa wingi na kuzifanya kuwa hit kwa mara ya pili hakuna faida yoyote kwa kuwa hawezi tena kupiga show kwa hits hizo mlizozitengeneza na watangazaji hawa wanashindwa kutambua kuwa kadri wanavyopiga nyimbo zake ndipo yeye(mr.ebbo) anazidi kupata mateso huko alipo(kwa imani yetu ya kidini).R.I.P MR.EBBO WE WILL ALWAYZ REMEMBER YOU
ACHA UMBEA WEWE ALIYEKWAMBIA MAITI YA MR ABEL NI YA CCM NA CHADEMA WANAIGOMBEA NI NANI?kwani Lema c anaenda mazishini kama watu.wengine? ACHENI PROPAGANDA ZISIZO NA MAANA!Mr Ebo ulipokuwa unaumwa hatukuona cha CCM au chadema wakigombania kukuponya lakini leo chadema wanagombania maiti yako dhidi ya ccm
tuwekee vya kuonea mkuu!
Bangi+ujambazi wa magariMbunge Wa Arusha Mjini siku ya leo amewataka vijana wote wataka mabadiliko kuungane naye kwenda kushiriki mazishi mwanaharakati huyo wa mziki wa kizazi kipya, Lema amesema hayo alipokuwa kwenye mahojiano na Local media za jijini Arusha. Vijana twendeni tukamzika mwanaharakati huyu aliyekuwa akipinga unyonyoji kwa wasanii wa Tanzania.
Jibu swali Lema ni nani kwenye familia ya Mr Ebo mpaka apange mazishi awaite wanaharakati wa Chadema?
Achana na Lema mmemponza Nepi leo anahangaika peke yake kutetea kitumbua tabia yenu haipishani na m/kiti wenu mnamtumia mtu mwisho mnamtupa kama mpira.Jibu swali Lema ni nani kwenye familia ya Mr Ebo mpaka apange mazishi awaite wanaharakati wa Chadema?