TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

Fitu fingi nasangasa sana hii Saridalaama,
Badala ya kufuga Ng'ombe ili wapate kula Nyama,
Eti wanafuga Ndefu ili wawe kama Osama,
Na bado mutu hiyo nasema eti mesoma,
Watu nasema baada ya thiki ni fajara!
 
Na ile Kindononi imegeuka kua Congo,
Kila mara wanaimba ndongoloo,
Yule meweka dawa nywele fanana na Musee,
Ebu fundisa kucheza kiwazenze!!
Au ile ingine,
Naitwa amishenengule!!
 
kazi ya kuwekwa au kutowekwa mahali pema inategemea na matendo aliyodumu kuyafanya enzi za uhai wake
 
Enzi za uhai wake alikua anaimba nyimbo za kusifu kabila na mavazi ya kimasai lakini amefariki amezikwa na vazi la kizungu "SUTI". INAKUWAJE HII WAKUU?
 
Yeye alikuwa anadumisha mila lakini bahati mbaya pengine hakuacha maelekezo ya namna ya kuzikwa kwake. Au kama alielekeza ibawezekana waliomzika waliyapuuza wakamzika kizungu.
 
Enzi za uhai wake alikua anaimba nyimbo za kusifu kabila na mavazi ya kimasai lakini amefariki amezikwa na vazi la kizungu "SUTI". INAKUWAJE HII WAKUU?
Asante kwa mchango wako JF endelea na kazi.
 
ndugu zake ndiyo waliona inafaa kuzikwa vile!
 
Pengine hakuacha wosia azikweje, ingependeza sana hata jeneza lingenakshiwa kwa shanga za kimasai
 
wapo wachache wanaojaliwa kusema wanataka wazikwe namna gani,
wengi wanaogopa wakijua kuwa wakisema ndo wamekufa.
 
Nafikiri kama angeweza kujizika hafu afie kaburini angejizika kimila na tamaduni kabisa, ila wanafamilia inaonyesha walikua na mtazamo wao tofauti kutoka na umaarufu wake waliona suti ndo sahihi
 
Mr Ebo Lala pema lala umetutangulia kulala, lala mwana wa Kimasai lala. Usijali utaja amka ila kwa sasa lala, lala upumzike umetuachia mchakato wa katiba najua ungesema mengi sana juu ya hilo lakini mipango ya Molla wetu ilitakiwa itimie hivyo, Lala kesho ni moja utaja amka.
 
381334_323773357633297_100000019058462_1321065_1933741141_n.jpg
 
Tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi. R.I.P. Mr Ebbo!
 
Back
Top Bottom