Asante kwa mchango wako JF endelea na kazi.Enzi za uhai wake alikua anaimba nyimbo za kusifu kabila na mavazi ya kimasai lakini amefariki amezikwa na vazi la kizungu "SUTI". INAKUWAJE HII WAKUU?
sio vazi tu angezikwa kimasai ingependeza sana
wamasai wanazikwaje......?
Miguu juu kichwa chini.
Miguu juu kichwa chini.