TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

mmmh! ni kweli huyu ni mr.ebo???? ooh! jamani jamani! nimeogopa!! mungu mpumzishe kwa amani!! wapendwa tumrudie mungu.

ngoma noma masela, kavukavu husijaribu ata kama uko 2ngi!
 
Kuhusu utamaduni wamasai hawana mila wala desturi ya kuzika marehemu. Mtu akifa hukimbia boma na kumuacha akioza huko. Kama amefia hospital hukimbia na hawarudi tena kuja kufuatilia maiti. Kwa hiyo kama ni kumsetiri marehemu ndugu zake wameshaacha mila hiyo potofu ndio maana wamemsitiri kwa suti na sanduku na ibada ya dini yake aliyochagua kuabudu. Mungu akulaze pema peponi nashukuru nimeona sura yako ya mwisho huku jukwaani mr ebo. Asante ulityetuwekea picha hii.
 
Ni Miaka minne sasa Tangu utangulie mbele ya haki,daima tutakukumbuka Abel Motika aka Mr Ebbo,E.K.A Abel Motika M.A.P.
 
Mwenye songi zake ashee basi hapa na sisi tujikumbushe/tumuenzi yule masai
 
Back
Top Bottom