Aisee bonge la mashine mkuuYear 2004
Cc2360
4cylinder
Engine Vvti-2Az
In good conditiomView attachment 2229588View attachment 2229589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee bonge la mashine mkuuYear 2004
Cc2360
4cylinder
Engine Vvti-2Az
In good conditiomView attachment 2229588View attachment 2229589
Karibu mkuuAisee bonge la mashine mkuu
Awatafute wanyakyusa...wasukuma tunapenda vitu vipyaCVR Mil 9? Gari ambayo naamini ulinunua mil 11 hadi 12 miaka zaidi ya kumi nyuma uuze leo mil 9. Anyways, nisikukatishe tamaa, unaweza bahatisha wasukuma
Mbona umekomaa kumuharibia? Unapata faida ganiAtayeinunua naye hana akili.
Hiyo gari imetumika Tz miaka 6 tayari
Kwa hiyo bei akiongezea milioni 3 anavuta Japan
uchawi sio lazima tunguliAtayeinunua naye hana akili.
Hiyo gari imetumika Tz miaka 6 tayari
Kwa hiyo bei akiongezea milioni 3 anavuta Japan
Sijamuharibia mtu mi mimeshauri ashushe beiMbona umekomaa kumuharibia? Unapata faida gani
Mtu akisema ukweli mnaita uchawiuchawi sio lazima tunguli
bhagwitu fyo fiki?Awatafute wanyakyusa...wasukuma tunapenda vitu vipya
Bei ya gari unaangalia ilisajiliwa lini au uimara wake?CVR Mil 9? Gari ambayo naamini ulinunua mil 11 hadi 12 miaka zaidi ya kumi nyuma uuze leo mil 9. Anyways, nisikukatishe tamaa, unaweza bahatisha wasukuma
Piga kifua sema mimi ni mbuzi mjingaMtu akisema ukweli mnaita uchawi