Car4Sale Abigail magari used

Car4Sale Abigail magari used

Atayeinunua naye hana akili.
Hiyo gari imetumika Tz miaka 6 tayari

Kwa hiyo bei akiongezea milioni 3 anavuta Japan
 
CVR Mil 9? Gari ambayo naamini ulinunua mil 11 hadi 12 miaka zaidi ya kumi nyuma uuze leo mil 9. Anyways, nisikukatishe tamaa, unaweza bahatisha wasukuma
Awatafute wanyakyusa...wasukuma tunapenda vitu vipya
 
Hivi tatizo ni namba? Hizi gari zimekuwa adimu na imara. Nadhani mnunuzi anapaswa ajiridhishe. Inauzika ila ni kwenye 7 mpaka 8.
 
Atayeinunua naye hana akili.
Hiyo gari imetumika Tz miaka 6 tayari

Kwa hiyo bei akiongezea milioni 3 anavuta Japan
Mbona umekomaa kumuharibia? Unapata faida gani
 
Gari ya Mil 7 hiyo Boss, huko kwenye tisa
Unapoteza muda tuu
 
Nadhani atakua anaangalia muitikio wa wana jamii kama mpo active kujadili, ila kwa bei hiyo sio sahihi[emoji16] Labda kwenye 5m kidogo ingeleta matumaini
 
CVR Mil 9? Gari ambayo naamini ulinunua mil 11 hadi 12 miaka zaidi ya kumi nyuma uuze leo mil 9. Anyways, nisikukatishe tamaa, unaweza bahatisha wasukuma
Bei ya gari unaangalia ilisajiliwa lini au uimara wake?
Je kama imetembea km 40,000 tu?
Je kama ameweka engine mpya?
Jirani yangu mmoja ana Nissan patrol no. DTF imechoka vibaya, Ina makelele na huwa anaitengeneza kwenye gereji ya ovyo. Boss wangu wa zamani anayo Nissan no. ASS ni nzima Sana, Ina nguvu Ina mwonekano bomba.
 
Number D
Mwaka 2006
Cc 1790
Low mileage

Screenshot_20220524-132737_1653421088518.jpg
Screenshot_20220524-132859_1653421066236.jpg
Screenshot_20220524-132851_1653421038669.jpg
 
Back
Top Bottom