Abiria kutoka Tanzania watahitaji kupimwa maambukizi ya virusi vya Corona mara mbili ili kuruhusiwa kuingia UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu)

Abiria kutoka Tanzania watahitaji kupimwa maambukizi ya virusi vya Corona mara mbili ili kuruhusiwa kuingia UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu)

Kufuatia mimi siku hizi kuwa ni kada mpya wa Chama cha Mapinduzi, kila nikuona humu CCM inabagazwa, au viongozi wa CCM wana bagazwa, siwezi kukaa kimya, nitajitokeza kuwatetea na kukitetea chama changu humu Mitandaoni.
P
Hongera mzee, na pole kwa kutopata kura za kutosha kwenye maoni.
Jiandae tukapime Covid kabla hatuja safiri kwenda UAE
 
Sasa hapo shida iko wapi?
Kwa maleta mada unafikiri hii itabadirisha hali yetu na kuambiwa tuna waginjwa elfu 20 kama jirani zetu Kenya?
Tulia utajionea mwenyewe. Tulia tuliii
 
Mwakilishi wa Kenya juzi karudia angani kwa kuogopa maambukizi ya covid-19 yalivyosambaa nchini Tanzania....Tanzania tutatengwa hadi na mafisi!Kiburi sio maungwana....tutaelewana tu!
Kwahiyo maambukizi yamesambaa lakini watu hawafi,au wanakufa lakini watu wanaogopa kusema?sijakuelewa vizuri hapo...
 
Mwakilishi wa Kenya juzi karudia angani kwa kuogopa maambukizi ya covid-19 yalivyosambaa nchini Tanzania....Tanzania tutatengwa hadi na mafisi!Kiburi sio maungwana....tutaelewana tu!
Kwahiyo taarifa za Corona ya Tanzania wamezipata baada ya kupaa angani? Ebu acha kutuabisha hapa.
 
Mnacho kifurahia ndicho kitakachozuwia wangalizi wa uchaguzi toka huko duniani, ndiyo maana michadema tukiwaambia akiri hamna mnakasirika

Tangu umeanza kupiga kelele kuwa Corona ipo tena ni ya kutisha Nani kwenu kafa, huna jibu, basi je wewe umeambukizwa Napo huna jibu

Sasa mnachokifurahia, naomba tu hata Mh JpM akiunge mkono tena aende mbaali kabisa Kwa kutangaza kuwa tunakiwango cha juuu kabisa cha maambukizi na apige marufuku Kwa watu kuingi ndani na pia hakuna kutoka nje, na uchaguzi ufanyike,muone sasa mnachokitafuta
Pumba....vu zenu nyinyi, halafu tena mpige kelele sjui wangalizi itakuweje

Kila siku sjui Corona, Corona ni kama wimbo, Tulisha Sema Corona hakuna Tz na hata kama ipo, Mungu kaifanya namna ambayo haisababishi matatizo makubwa kama huko Kwa wenzetu
Unatishia kujamba huku unaharisha?
 
Huku tunakoenda watatulazimisha tuchanje chanjo ya corona...
Kosa letu nini? Kutoweka lockdown? Walokoweka lockdown corona imeisha?
Hutuna kosa, ni utaratibu tu wameweka. Siyo lazima uende kwao kama huo utaratibu unakushinda. Unakumbuka hata nchi yetu mwanzoni tuliweka utaratibu wa wageni wanaoingia TZ kukaa karantini kwa gharama zao wenyewe. Sasa huko wao wanataka usiingie kwao bila kupima, sioni shida hapo kwa sababu huo utaratibu hawajawekewa watz peke yao.
 
Nakumbuka Mchechu wa NHC alivyowapeleka akina Halima Mdee huko Dubai kula bata!
Idadi ya wanaotufanyia ubebeberu inaongezeka naona. Hawa waarabu tuwaite mavulata badala ya mabeberu. Mabeberu wabakie wazungu tu
 
Maskini passport yangu 😀hii covid katili sana nilijuwa ntaitumia mwaka huu aiiiiiii hizi dalili sio nzuri lazima kukomaa Tanzania.
 
Kuwa kada wakati mwingine ni mzigo.

Issue hapa sio Lockdown, bali "CONTROL". Sisi hapa hatuna taarifa yoyote na hatujui hata tunaugua kiwango gani?? Ni hapo ndipo nchi zingine zinaona tunaweza kuwa tunasambaza corona wakati wao wanapambana kuitokomeza kwa njia ya kupima na control zingine. Bila kupima huwezi hata kujua ukubwa wa tatizo.


Usinifokee
 
Ni muda sasa wa kuigeuza Tanzania kuwa kama UAE, tuko kwenye njia sahihi, na wakija tunawapima joto tu, kazi inaenda
 
Hutaweza kusafiri kwenda Dubai kama huna cheti cha vipimo vya COVID 19 na kama utajidanganya eti hutapima basi sahau maana ukiingia kwao wanakupima tena na Ole wako ukutwe na COVID 19.

Wazee wa ficha ficha hapa lazima mpatikane! Eti kipimo kinasababisha matatizo ya ubongo!
Nenda ukachokonolewe ubongo kwa njia ya pua hadi ujambe kamasi,😂😂
 
Back
Top Bottom