Abiria mwenzangu ananiomba kumlipia nauli...!!

Joined
Apr 26, 2016
Posts
64
Reaction score
25
Wanajanvini, asbh na mapema nilikuwa naelekea Bagamoyo sasa kuna binti nilimkuta kakaa tayari nami nikikaa kwenye sit aliekaa yule binti sasa ndipo akaanza kunishobokea nimlipie nauli eti yeye nauli yake haitoshi sasa nikamwambia anipe ile nauli isiyotosha ili nilipe yeye hataki ananitolea shida nyingine anasema hana pesa ya kula njiani sasa huu msaada au mzinga. ....?
 
Mzinga huo. Usishangae hata huko bagamoyo akakuambia hana pa kufikia.
 
Reactions: CTX
Hahaha huo mzinga, aisee siku hizi wanatafuta miteremko kwa njia yoyote ile sio lazima we uanze kuonesha shobo haha.
 
Sasa shida iko wapi kuna maamuzi unapaswa kuyafanya wewe kama wewe, kwani kama huna uwezo wa kumsaidia unapaswa kumweleza tu, kwani wewe haujawahi kusaidiwa katika maisha yako?
 
SAVER za JF zinakazi kwa hawa wanaume wa dar es salaam,Itafikia kipindi wakiona sisimizi wanakuja mbio JF kuanzisha thread.
 
Huyo asikupe shida mwambie huko ufikapo mm ndo ntakuwa mwenyeji wako Xari hiloo km humtaki mpotezee alafu nyinyi ndio hata mzee akijamba unakuja mbio kupost hapa jf baada ya kumsitiri stara ya mzee
 
Unatokea wapi kuelekea bagamoyo?
Kama ni Dar es salaam hivi kuna haja ya kula njian safar ya dsm mpk bagamoyo?
Pia naona umeamua tu na wew kupost maana ninavyojua mim kwa siku kama ya leo kama unatokea dsm huo muda wa kupost thread jf nadhan utakuwa umeshamlipia nauli au hujamlipia,lakin kimsing maamuz umeshayafanya hivyo hakuna maana ya kuleta hiyo mada humu.
 
Jambo jema ukiondoa uzi na kupost kwenye makundi ya Whatsapp

Silly
 
 
Kama ni safari ya bagamoyo hilo lilikuwa jini linakutest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…