Matingi litikiti
Member
- Apr 26, 2016
- 64
- 25
Wanajanvini, asbh na mapema nilikuwa naelekea Bagamoyo sasa kuna binti nilimkuta kakaa tayari nami nikikaa kwenye sit aliekaa yule binti sasa ndipo akaanza kunishobokea nimlipie nauli eti yeye nauli yake haitoshi sasa nikamwambia anipe ile nauli isiyotosha ili nilipe yeye hataki ananitolea shida nyingine anasema hana pesa ya kula njiani sasa huu msaada au mzinga. ....?