Basi letu limekamatwa Mlandizi kwa kosa la ku-overtake. Tupo kituo cha polisi tangu saa 11 jioni hadi sasa saa 1 usiku, bila kupewa taarifa yoyote kuhusu kinachoendelea.
Kwenye basi kuna watoto na wazee ambao wanapata shida. Tunaomba wahusika watusaidie na kutoa taarifa kuhusu hatua zinazochukuliwa ili tujue hatima ya safari yetu.