and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Unawaza kula tu. Kanyaga twende tumechelewa Sana.Si mbadilishe basi mtumie lingine
Mbona kama mnakuwa watumwa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawaza kula tu. Kanyaga twende tumechelewa Sana.Si mbadilishe basi mtumie lingine
Mbona kama mnakuwa watumwa
Ova
Panda ABC UPPER CLASS BUS hutojuta kabisa, kwani mna hisa kwenye hiyo kampuni??Si mbadilishe basi mtumie lingine
Mbona kama mnakuwa watumwa
Ova
Exactly [emoji1666] [emoji1666]Jaribu mtoa huduma mwingine. Kuna ABC wana hotel yao safi kabisa.
Hii maana yake ni institutional failure... Kwa ukubwa wa hii nchi bila kuwa na taasisi na mifumo imara tegemea malalamiko daily huku mawaziri wanakimbizana mikoani badala ya kupata muda wa kutosha kuwa Wizarani kusimamia na kuimarisha taasisi zilizoko chini ya wizara zao...Vilio Tanzania vimekuwa vingi Kila Mahali Tanzania.
Ongezea na kuharibu vifaa kwenye vyombo vya usafiri.. Nilienda Kigoma na Bus mpya tuu inaitwa AIFOLA nikakuta charging system karibia zote zimekufa.. Mimi nasubiri nione hizo treni za mwendo kasi kama zitadumu...Watanzania na Watu weusi kwa ujumla pamoja na Wahindi ni WACHAFU WA MAZINGIRA na Waharibifu wa vitu vizuri ilihali hawawezi kubuni na kuunda vitu hivyo
Mfano hivi vifaa vyote vya chooni, masinki, na miundo mbinu yaani wanajua tu kuharibu
Unapajua Cate hotel??Aisee Moro to Dodoma bado sijaona sehemu ya kueleweka Kula msosi, When it comes to best Motels, Arusha to dar has the best
Mji hauna bwana afya wala bibi afya!Mazingira ya hoteli hiyo ni machafu sana na hayaendani na hadhi ya basi la Shabiby ambalo abiria tunalipa nauli 30,000 hadi 45,000 Dar- Dom.
Tumelalamika sana kwenye basi hadi inafikia baadhi ya abiria wanashindwa kushuka kupata chakula kutokana na mazingira kutoridhisha na uchafu wa vyoo lakini hatusikilizwi
Kiufupi morogoro hakuna Hotel nzuri ya abiria kula, wana morogoro wameshindwa kujiongeza kwenye hiyo septa wakati magari mengi yanapita hapo kuelekea mikoa mbali mbaliKuna BM COACH, Kuna ABC, HAPPY NATION, KIMBINYIKO etc, kwanini upate tabu? Pesa yako mwenyewe!?
Inafaa au inaruhusu mabasi ya abiria kusimama hapo?Unapajua Cate hotel??
nadhani amepata mwongozoHii call imuamshe ndugu Ahmed Shabiby.
Tatizo posho wanazopewa hawa madereva na hizo hotel.
Ifike mahali wamiliki wa mabasi wa own end to end safari za magari yao.
Binafsi nawaoongeza ABC pale cate hotels ni moja ya sehemu nzuri.
Sema nao sasa wanachakula hovyo kupindukia.
Sehemu pekee iliyokaa kibabe kati ya Moro Dar, abood wanapopitisha abiria kuchimba dawa, jamaa pale wanatoa huduma classic mno. Nyama choma,kuku choma, mishkaki. Chipsi n.k kila kitu kimenyooka.
Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa ajili ya huduma ya chakula na kuchimba dawa.
Mazingira ya hoteli hiyo ni machafu sana na hayaendani na hadhi ya basi la Shabiby ambalo abiria tunalipa nauli 30,000 hadi 45,000 Dar- Dom.
Tumelalamika sana kwenye basi hadi inafikia baadhi ya abiria wanashindwa kushuka kupata chakula kutokana na mazingira kutoridhisha na uchafu wa vyoo lakini hatusikilizwi
Tumeona tulete malalamiko hapa tukiamini uongozi wa juu ya Kampuni ya Shabiby utasikia malalamiko yetu maana hakuna box la maoni ya abiria kwenye basi.
Ni Sisi Abiria watiifu wa Kampuni ya Shabiby
Kutoka Dar-Dom
Teh teh syo mm ni mleta uzi huuPanda ABC UPPER CLASS BUS hutojuta kabisa, kwani mna hisa kwenye hiyo kampuni??
Na sisi tunaopanda Champion na Shukrani tunaruhusiwa kuchangia huu uzi? Sisi kiukweli tunafurahia huduma zitolewazo kwenye haya mabasi yetu pendwa!