Panda ABC ndugu, sehemu ya chakula na sehemu ya haja ni safi kabisa. Vyoo vyenye hadhi na heshima. Basi huduma nzuri. Shabiby huduma ni hovyo na wanaposimama ni pachafu. Ukienda Ofisini kwa Shabiby customer care ni hovyo kabisa. Nenda pale ABC utafurahia huduma zao kuanzia ofisini kwao, safarini hadi hotelini.
Shabiby ana mabasi mazuri na watoa huduma wa ndani ya basi wana kauli nzuri. Lkn pale ofisini dodoma customer care yao ni hovyo, pia mahali wanaposimama kwa ajili ya chakula na haja kwakweli hapaendani na hadhi ya basi lenyewe. Vyoo ni vichafu na mazingira ni ya hovyo hovyo tu