DOKEZO Abiria wa Basi la Shabiby tulalamikia huduma mbovu za hoteli Morogoro tunaomba mbadilishe haraka hoteli

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Vilio Tanzania vimekuwa vingi Kila Mahali Tanzania.
Hii maana yake ni institutional failure... Kwa ukubwa wa hii nchi bila kuwa na taasisi na mifumo imara tegemea malalamiko daily huku mawaziri wanakimbizana mikoani badala ya kupata muda wa kutosha kuwa Wizarani kusimamia na kuimarisha taasisi zilizoko chini ya wizara zao...
 
Watanzania na Watu weusi kwa ujumla pamoja na Wahindi ni WACHAFU WA MAZINGIRA na Waharibifu wa vitu vizuri ilihali hawawezi kubuni na kuunda vitu hivyo

Mfano hivi vifaa vyote vya chooni, masinki, na miundo mbinu yaani wanajua tu kuharibu
Ongezea na kuharibu vifaa kwenye vyombo vya usafiri.. Nilienda Kigoma na Bus mpya tuu inaitwa AIFOLA nikakuta charging system karibia zote zimekufa.. Mimi nasubiri nione hizo treni za mwendo kasi kama zitadumu...
 
Mji hauna bwana afya wala bibi afya!
 
Kuna BM COACH, Kuna ABC, HAPPY NATION, KIMBINYIKO etc, kwanini upate tabu? Pesa yako mwenyewe!?
Kiufupi morogoro hakuna Hotel nzuri ya abiria kula, wana morogoro wameshindwa kujiongeza kwenye hiyo septa wakati magari mengi yanapita hapo kuelekea mikoa mbali mbali
 
nadhani amepata mwongozo
 

Nakuunga mkono ktk hili

Majuzi nilipanda Shabiby nilipokuwa nikienda Dodoma, stendi tuliyofikia pale Moro kupata huduma za kijamii ilikuwa ya hovyo kuanzia huduma ya chakula mpaka chooni, na bado bei ya vyakula ipo juu kulinganisha na ubora wake

Nilipokuwa narudi kutoka Dom kwenda Dar nilipanda ABC upper Class,, tulipofika Moro tuliingia Cate Hotel
Kiukweli ile Hotel ina hadhi nzuri sana sana kwa wasafiri na hata abiria wengine, kuanzia mandhari yake, ubora wa chakula nk

Nawashauri uongozi wa Shabiby mtafute Hotel yenye hadhi ya mabasi yenu achaneni na vijihotel uchwara vinavyoharibu jina lenu,
Shabiby ni kampuni kubwa yenye hadhi nzuri sana hapa Tz kuliko hata ABC na wengneo,, hvyo zingatieni hata Watoa huduma wengne wawe na quality zinazoendana na ubora wa mabasi yenu kwasbb abiria wanaopanda mabasi yenu wanastahili kupata kilicho bora
 
Waige KlM elfu saba unakula kiepe mbuzi na unakaa muda mrefu hadi unaridhika mteja na unaendelea na safari
Hili swala la kulia ndani ya basi wengine sio wazoefu kabisa,weka kiepe nyama choma ya kushiba 7000,kiepe nyama choma ya mbuzi 8000 na abiria wawape dk 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…