Jumlisha
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,239
- 2,765
sio special sioSio special, lakini kulikua na ulazima upi kwenda kuvamia na kupanda na hamjaruhusiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio special sioSio special, lakini kulikua na ulazima upi kwenda kuvamia na kupanda na hamjaruhusiwa
sio special sioSio special, lakini kulikua na ulazima upi kwenda kuvamia na kupanda na hamjaruhusiwa
Mwendokasi sasa apewe mwekezaji tu, serikali imeshindwa, tena apewe mbongo katili au mhindi akimbizane na madereva vichaa kama haoImesukwa ili apewe mwekezaji kiulaini, kalaghabaho.
Kuvunjika kwa serikali huwa kunaanza kama ufa mdogo sana.Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya huduma iliyotakiwa kutolewa.
Watu walikuwa wengi na wengine wakionekana wanataka kuwahi kwenda kupata futari.
Tukiwa katika hali hiyo, Saa 1:00 Usiku likaja basi kushusha abiria Namba zake za usajili T 591 DWR, baada ya kumaliza kala halijaanza utaratibu wa kuja pale tulipokuwa tumepanga foleni ya kwenda Kimara, Dereva wa Basi hilo akaanza kupandisha Wafanyakazi wenzake na baadhi ya Walemavu.
Wakati akifanya hivyo idadi ya aliokuwa akiwapandisha ni kubwa, ikabidhi watu waanze kuvamia nao waingie bila kufuata utaratibu, nami nikachoma ndani.
Dereva akatutaka tushuke, watu tukakaza, kaona sasa atukomeshe, badala ya Kwenda Kimara akatupeleka Morocco, huko napo watu wakakaza kushuka, eti alitaka tushuke pale.
Baada ya ubishi wa muda mrefu akachoma mafuta akaturudisha Kivukoni, huko napo abiria wakakaza, akaja Msimamizi wake, naye badala atumie busara, akaanz kutuambia “Nyie si mnajifanya vichaa, sasa sisi vicha zaidi yenu, leo mtalala hapohapo.”
Kulikuwa na vijana na madogo kibao wanafunzi wakaanza kuimba nyimbo kama vile wanaandamana.
Ndipo kuna mtu mzima mmoja nikaona ameshika simu akampigia Waziri Mohammed Mchengerwa, akamweleza kinachoendelea, kwanza Waziri hakuamini, akamwambia apige picha au arekodi video amtumie, yule mdingi akafanya hivyo.
Ndipo baadaye nasikia huyu bosi mpya wa Mwendokasi naye akapiga simu na kusema anakuja eneo la tukio, kusikia hivyo yule supervisor na dereva wake wakasepa, wakaona msala huo.
Tukapata dereva mwingine sfari ya kuondoka Kivukoni ikaanza Saa 3:25 Usiku, tukafika Kimara almost saa Nne usiku.
Imagine tumekata tiketi Saa 12 Jioni kisha tunafika Kimara Saa Usiku.
Hawa madereva wa Mwendokasi nadhani wanatakiwa kuangaliwa saikolojia ya akili yao, pia huduma kwa ujumla za Mwendokasi ni janga.
Serikali ina kazi kubwa ya kufanya katika huu mradi.
HUYO MWEKEZAJI MPYA AJE TUJana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya huduma iliyotakiwa kutolewa.
Watu walikuwa wengi na wengine wakionekana wanataka kuwahi kwenda kupata futari.
Tukiwa katika hali hiyo, Saa 1:00 Usiku likaja basi kushusha abiria Namba zake za usajili T 591 DWR, baada ya kumaliza kala halijaanza utaratibu wa kuja pale tulipokuwa tumepanga foleni ya kwenda Kimara, Dereva wa Basi hilo akaanza kupandisha Wafanyakazi wenzake na baadhi ya Walemavu.
Wakati akifanya hivyo idadi ya aliokuwa akiwapandisha ni kubwa, ikabidhi watu waanze kuvamia nao waingie bila kufuata utaratibu, nami nikachoma ndani.
Dereva akatutaka tushuke, watu tukakaza, kaona sasa atukomeshe, badala ya Kwenda Kimara akatupeleka Morocco, huko napo watu wakakaza kushuka, eti alitaka tushuke pale.
Baada ya ubishi wa muda mrefu akachoma mafuta akaturudisha Kivukoni, huko napo abiria wakakaza, akaja Msimamizi wake, naye badala atumie busara, akaanz kutuambia “Nyie si mnajifanya vichaa, sasa sisi vicha zaidi yenu, leo mtalala hapohapo.”
Kulikuwa na vijana na madogo kibao wanafunzi wakaanza kuimba nyimbo kama vile wanaandamana.
Ndipo kuna mtu mzima mmoja nikaona ameshika simu akampigia Waziri Mohammed Mchengerwa, akamweleza kinachoendelea, kwanza Waziri hakuamini, akamwambia apige picha au arekodi video amtumie, yule mdingi akafanya hivyo.
Ndipo baadaye nasikia huyu bosi mpya wa Mwendokasi naye akapiga simu na kusema anakuja eneo la tukio, kusikia hivyo yule supervisor na dereva wake wakasepa, wakaona msala huo.
Tukapata dereva mwingine sfari ya kuondoka Kivukoni ikaanza Saa 3:25 Usiku, tukafika Kimara almost saa Nne usiku.
Imagine tumekata tiketi Saa 12 Jioni kisha tunafika Kimara Saa Usiku.
Hawa madereva wa Mwendokasi nadhani wanatakiwa kuangaliwa saikolojia ya akili yao, pia huduma kwa ujumla za Mwendokasi ni janga.
Serikali ina kazi kubwa ya kufanya katika huu mradi.
Stress kaka. Njaa inatumalizaMadereva wa mwendokasi skuizi hawako timamu kichwani
Sio vichaa. Stress na njaaMwendokasi sasa apewe mwekezaji tu, serikali imeshindwa, tena apewe mbongo katili au mhindi akimbizane na madereva vichaa kama hao
Wewe unalijua tatizo.Ni pressure wanazokabiliana nazo kila kukicha
Wasafiri wengi kuliko huduma ya mabasi
Lazima mabasi yawe mengi kiasi mpaka mabasi yanakuwa tupu wakati mwingine
Yaani mabasi tu wanashindwa eti wanataka walingane na nchi zingine
Usafiri ni muhimu sana kwa binadamu waache kuzingua
Kweli eti wanasema tunaongeza mabasi 70 badala ya Mia 7
Job ndungai to.lyikjbwhsusehdhhxhdjjsjjdjdjdjsejdjejjdudjejdudddgeheudidiJana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya huduma iliyotakiwa kutolewa.
Watu walikuwa wengi na wengine wakionekana wanataka kuwahi kwenda kupata futari.
Tukiwa katika hali hiyo, Saa 1:00 Usiku likaja basi kushusha abiria Namba zake za usajili T 591 DWR, baada ya kumaliza kala halijaanza utaratibu wa kuja pale tulipokuwa tumepanga foleni ya kwenda Kimara, Dereva wa Basi hilo akaanza kupandisha Wafanyakazi wenzake na baadhi ya Walemavu.
Wakati akifanya hivyo idadi ya aliokuwa akiwapandisha ni kubwa, ikabidhi watu waanze kuvamia nao waingie bila kufuata utaratibu, nami nikachoma ndani.
Dereva akatutaka tushuke, watu tukakaza, kaona sasa atukomeshe, badala ya Kwenda Kimara akatupeleka Morocco, huko napo watu wakakaza kushuka, eti alitaka tushuke pale.
Baada ya ubishi wa muda mrefu akachoma mafuta akaturudisha Kivukoni, huko napo abiria wakakaza, akaja Msimamizi wake, naye badala atumie busara, akaanz kutuambia “Nyie si mnajifanya vichaa, sasa sisi vicha zaidi yenu, leo mtalala hapohapo.”
Kulikuwa na vijana na madogo kibao wanafunzi wakaanza kuimba nyimbo kama vile wanaandamana.
Ndipo kuna mtu mzima mmoja nikaona ameshika simu akampigia Waziri Mohammed Mchengerwa, akamweleza kinachoendelea, kwanza Waziri hakuamini, akamwambia apige picha au arekodi video amtumie, yule mdingi akafanya hivyo.
Ndipo baadaye nasikia huyu bosi mpya wa Mwendokasi naye akapiga simu na kusema anakuja eneo la tukio, kusikia hivyo yule supervisor na dereva wake wakasepa, wakaona msala huo.
Tukapata dereva mwingine sfari ya kuondoka Kivukoni ikaanza Saa 3:25 Usiku, tukafika Kimara almost saa Nne usiku.
Imagine tumekata tiketi Saa 12 Jioni kisha tunafika Kimara Saa Usiku.
Hawa madereva wa Mwendokasi nadhani wanatakiwa kuangaliwa saikolojia ya akili yao, pia huduma kwa ujumla za Mwendokasi ni janga.
Serikali ina kazi kubwa ya kufanya katika huu mradi.
Haiwezekani demand kubwa namna hiyo halafu mabasi hakuna huu ni ujinga wa hali ya juuWewe unalijua tatizo.