KERO Abiria wa Mwendokasi tuliotakiwa kutoka Kivukoni kwenda Kimara, Dereva katupeleka Morocco kisha akaturudisha Kivukoni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Halijatokea bahati mbaya limepangwa kimkakati Hilo,,hiyo yote ni kutafuta sababu za kuubinafsisha watu wapige pesa tani 34 kama Foton za mchina
 
TUNAKOELEKEA KUNA SIKU DEREVA WA MWENDOKASI ATAPIGWA NA ABIRIA. NITOE TAHADHARI SIKU AKIPIGWA ANAWEZA KUUAWA.
MCHENGERWA KAA NA MADEREVA HUYU MKUU ALIYELETWA AMESHINDWA KUDUMISHA NIDHAMU YA MADEREVA
 
Ni pressure wanazokabiliana nazo kila kukicha
Wasafiri wengi kuliko huduma ya mabasi
Lazima mabasi yawe mengi kiasi mpaka mabasi yanakuwa tupu wakati mwingine
Yaani mabasi tu wanashindwa eti wanataka walingane na nchi zingine
Usafiri ni muhimu sana kwa binadamu waache kuzingua
Kweli eti wanasema tunaongeza mabasi 70 badala ya Mia 7
 
Kuvunjika kwa serikali huwa kunaanza kama ufa mdogo sana.

Ninawaomba wenye uelewa wa haya mambo wayafuatilie labda watagundua mziki mnene behind.

Hii si mara ya pili abiria wa mwensoghafla kulalamikia sabotages za madereva wa magari hayo. Na je, zile tetesi za kuwa madereva wengi wametoka jeshini ni kweli au jiji pana hili?
 
HUYO MWEKEZAJI MPYA AJE TU

MADEREVA WENYEWE WAMECHOKA NA HIYO KAZI
 
Wewe unalijua tatizo.
 
Huu Mradi wakabidhiwe RTA ambao ni ndugu na DP world haraka iwezekanavyo, mana hala ni mbaya sana Dar es Salaam
 
Job ndungai to.lyikjbwhsusehdhhxhdjjsjjdjdjdjsejdjejjdudjejdudddgeheudidi
 
Wewe unalijua tatizo.
Haiwezekani demand kubwa namna hiyo halafu mabasi hakuna huu ni ujinga wa hali ya juu
Watu tunaongeza pato zaidi kwenye biashara kama kuna wateja wengi na lazima niwe na hiyo bidhaa ili niuze
Sasa wao wanaona foleni na kuchelewesha watu badala waongeze route zingine na mabasi wanakenua meno tu

Dereva atauwawa kwa ujinga wao
 
Abiria na nyie mna matatizo.
Hivi hamuwezi kua kama mbezi wanakopanga foleni mpaka msukumane mtake kuuana kisa kuwahi siti.

Mabasi hayatoshi, hiyo iko wazi, waziri atafutwe atatue hiyo changamoto.

Waziri anatafutwa kwa mipango, Shenzy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…