Matema Beach
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 364
- 68
huyu jamaa nae yani unapeleka spare part hong khong lazima udakwe
Peak of shame to the country!
Kumbe zile barua za wafungwa ni za kweli bana.
Mkuu umeonaeee!
Mi muda ule niliiona ila hawajaweka majina na ndiyo nikapata shaka kumbe ni kweli.
KAZI IPO!
Ndugu ebu tuweke wazi mbona hizo mashine ni tofauti? hiyo nzima hailingani na hiyo iliyokatwa inawezekana kuna udanganyifu wa picha ingawa taarifa inaweza kuwa ya kweli.
Kwa mara nyingine, maafisa wa Hong Kong katika kiwanja cha ndege wamefanikiwa kukamata dawa za kulevya zilizokuwa zinasafirishwa kutokea Tanzania safari hii zikiwa zimefichwa katikati ya chuma cha mashine.
Dawa hizo aina ya heroin zilikamatwa katika nyakati mbili tofauti kwa jumla zikiwa na kilo 1.5 na thamani ya dola milioni 1.3 za Marekani.
Maafisa hao wanasema kwa kuwa wamekuwa wakifuatilia kwa karibu nyendo za wauza dawa na mbinu za kuficha dawa hizo, walilazimika kukikata chuma cha mashine hiyo ili kuziona.
Adhabu ya kupatikana na dawa za kulevya huko Hong Kong ni faini ya dola milioni 5 za Kimarekani.
Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya Serikali ya nchi hiyo na picha zinazoambatana na taarifa hiyo vimepachikwa hapo chini.
Mkuu nitajaribu kukueleza kwa kadiri nilivyoelewa:
1. Picha ya kwanza na ya pili ni picha mbili tofauti zioneshazo matukio mawili tofauti ya ukataji chuma.
2. Chuma kinachoandaliwa kukatwa katika picha ya kwanza ni tofauti na kile kilichokwishakatwa katika picha ya pili.(kulikuwa na vyuma viwili tofauti vilivyoshindiliwa dawa).
Jaribu kuvichunguza kwa makini utagundua havifanani.
3. Ukisoma kwa makini yale maelezo yaliyopo katika picha yenye maelezo utaona wamebainisha wazi kabisa utofauti wa tarehe baina ya tukio la kwanza na lile la pili. Ufanano wa matukio hayo mawili upp sehemu moja tu, njia iliyotumika kuyaficha madawa hayo inafanana.
4. Hivyo basi kutokana na maelezo namba 1, 2 na 3, ni wazi utagundua kuwa hakuna udanganyifu wowote kwani hayo ni matukio mawili tofauti. Kwa mantiki hiyo hata mashine za ukataji kuna uwezekano zikawa zaidi ya moja.
ni kheriii akae kimya maana wanaishiaga kusema tu lakini hawatendi....they talk a talk and never walk a talk....hata mwakyembe sijui anapigaporojo za nini?? Kazi yako itasikika au onekana kwa matendo tu na kukesha na waandishi wa habari......Wewe ulitaka afanye nini?
Mtu anataka alale maskini amke tajiri haya ndiyo madhara yake.
Tanzania sasa haina tofauti na columbia!!!
haya maajabu kama sio suicide attempt
1.tarehe 2 august walikamata gram 700.......ndani ya metal gear
2.tarehe 15 wakakamata tena gram 800 ndani ya metal gear....hivi kweli mmoja anakamatwa tarehe 2 halafu tarehe 15 mwingine anaenda na metal gear hio hio from tz to china......
By KIHEGA, wana JF hebu nikumbusheni aliyekuwa rais wa Panama Bw.Noriega yuko wapi siku hizi!
Manuel Noriega returns to Panama to serve 20 year jail term
Manuel Noriega, the drug-running former Panamanian dictator, has been returned home from France to serve 20 years in jail for the murder of political opponents during his bloody rule in the 1980s.
MamndenyiUvivu ndo umetuzidi,
sie tunaolima mnatuona kama tumechangayikiwa
nyie mwataka za haraka,
haya tutaona chama hapa je.
Wewe ulitaka afanye nini?
Good observationHii machine mbona Kama imechakaa ghafla baada ya kukata hicho Chuma au ilifungwa hapo kwanza kisha kikahamishiwa katika machine nyingine! Tazama kwa umakini hizo picha.
Tanzania tunastahili tuzo katika hii biashara!