Abiria wafurahia usafiri wa treni Moshi - Dar

Kwa mujibu wa ratiba hao watakao kuwa wanalipia (daraja la 3) 16500/- hawatapewa siti za kukaa au niaje machalii...!
 
Nauliza, wakazi wa Marangu na Rombo hiyo treni inawafaa, kulingana na geografia ilivyo. Naomba kufahamishwa. Nilipanda treni hiyo mwaka 1994 nikiwa mdogo so sikumbuki mengi.
Mkuu kama unamiliki basi na unalangua nauli imekula kwako
 
hakika Magufuli ni messenger wa Mungu kwenye hili Taifa.
 
Mkuu kama unamiliki basi na unalangua nauli imekula kwako
Namiliki bodaboda, huko nilikoulizia ni nyumbani, nimeuliza nipate jibu. Je pale kituoni njia panda kituo cha treni kipo karibu?
 
Nauliza, wakazi wa Marangu na Rombo hiyo treni inawafaa, kulingana na geografia ilivyo. Naomba kufahamishwa. Nilipanda treni hiyo mwaka 1994 nikiwa mdogo so sikumbuki mengi.

Na ndicho kinachofanya watu wapande hiyo train; ugeni kwa wengi wao. Euphoria hiyo itakapoisha ndio demand halisi itakapojulikana.
 
Dahhh wabongo bhana ,tusishangae kesho hapa kila mtu akataka treni hii ipite hadi mlangoni kwake ! Guys let's us learn to appreciate a little thing then we will later be awarded big
Kuuliza sio ujinga, na nimeuliza kwa nia njema tu maana huko ni nyumbani, Je itanilazimu kutoka Marangu mpaka moshi mjini au pale kiituoni njia panda pana stesheni karibu. Mtu anapotaka ufafanuzi mnaona anapinga, achani huo matazamo hausaidi kitu na wala haujengi.
 
Mliokuwa mnasema watu wa chini hawapandi ndege hii hapa ya kwetu sasa
 
Asee ,Bosi treni haipiti Marangu hii
 
Labda ushuke kahe then utafute usafiri hadi njia panda
 
Hakuna nauli ya wanafunz uk0???πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwandishi unakimbilia wapi???
 
Wachaga mshadanganyiwa train ninyamaze.. ...
Mambo kujenga chattle..
 
Bora iwepo "watu wasafirishe mirungi na bhangi kwa urahisi zaidi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…