Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Fungua pm yakoNipo babangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungua pm yakoNipo babangu
classmate kaniuma sana mkuu...😥Billionaire alikuwa mmoja...
The billionaire was your classmate?classmate kaniuma sana mkuu...😥
Pole sana.classmate kaniuma sana mkuu...😥
Kuna bilionea mmoja mwaka 1928 nayeye alipotea kiajabuajabu kwenye English channel aliwa juu futi 4000 kwenye ndege yake na hajawahi kuonekana mpaka leo.Kuna secret issues kwenye hii issue yawezekana isiwe rahisi mtu wabkawaida kama mimi kuelewa au kuielezea ila hili ni jambo.
Bado naendelea kujiuliza ni vipi ipotee kutoka kwenye rada na mazingira wanayoyafaham kuwa ndiyo njia ya hiyo Submarine yao?.
Hii siyo ajali kwa watu wa ndani sana bali ni aina ya kutaka kuondoa aina ya watu ajalini, nasubiri hapa muda flani ujao tutapata majibu yanayofaa.
Kwani kipi cha ajabu mkuu...🤨The billionaire was your classmate?
Fungua pm yakoduh aiseee
Classmate aliniuma sana yule.... R.i.P..😥Kuna bilionea mmoja mwaka 1928 nayeye alipotea kiajabuajabu kwenye English channel aliwa juu futi 4000 kwenye ndege yake na hajawahi kuonekana mpaka leo.
Na huyo pia ulisoma nae🤣🤣😂😂😂😂😂🤩🤩Classmate aliniuma sana yule.... R.i.P..😥
Inawezekana ni Miundombinu. Hayo mavyombo ya anga za mbali yalishawekewa miundombinu ya mawasilino na nadhani ni gharama sana tofauti na baharini ambapo miundombinu haijawekwa sababu ya gharama na fact kuwa ni suala la kwenda na kurudi. Kupotea ni ajali. Kila kitu ni biashara.Binadamu anaweza kufanya mawasiliano na kituo cha ISS kilichopo kilomita 400 nje ya dunia,anaweza kuwasiliana na kucontrol James Web Space Telescope iliyopo kilomita milioni na nusu kutoka dunia, anaweza kupata sauti na data nyingine kutoka Voyager 1 iliyopo zaidi ya kilomita billion 12 kutoka duniani.
Lakini Binadamu huyo huyo kwa muda wa siku nne ameshindwa kupata data zozote za maana kutoka kwenye chombo kilicho takribani kilomita 3.8 tu chini ya bahari.
Tunahitaji kujitafakari.
Rest in Peace Titan Crew.