Abiria waliokuwa kwenye Nyambizi ya Titan wakitalii kwenye mabaki ya Meli ya Titanic wafariki dunia

TITANIC- Mungu bado anawasoma tu hawa jamaa, mana walisemaga _ Titanic ni meli ambayo hata Mungu asingeweza kuianguasha"... Kweli akili ikiwa nyingi ni laana tu...
 
Kwavile wameamua kujipeleka kama mboga ya samaki basi sawa
 
Ila haijalipuka(explode) wanasema implode Kiswahili sijui nini ni kama kubonyezwa Pande zote..
Pressure chini ya Maji ni kubwa mno hakingeweza kulipuka...

CEO naye alikuwepo Kwangu ameweka mfano mzuri ametengeza akajaribu mwenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…