Abiria waliokuwa kwenye Nyambizi ya Titan wakitalii kwenye mabaki ya Meli ya Titanic wafariki dunia

Wazungu bhana, yaani wabaguzi sana, majuzi hapa Waafrika wamezama na Jahazi lao bahari ya Mediterania, lkn habari hiyo haikupewa uzito wa maana.
Haikupewa uzito na nani? Tuanzie hapo kwanza, mambo mengine tatizo linakua sisi wenyewe waafrika matatizo yetu hatuyapi uzito badala yake tutaka wazungu ndio wayape uzito.
 
Huwezi kuogelea kwa kina hiko, ni mbali kiasi kwamba pressure yenyewe ingewasaga.
sasa hiyo chombo ilishawahi kwenda na kurudi ?

na presha inatokea wapi ? kwani maji ya bahari yanatembea kama ya mito au yametulia kwenye uso wa dunia ?
 
sasa hiyo chombo ilishawahi kwenda na kurudi ?

na presha inatokea wapi ? kwani maji ya bahari yanatembea kama ya mito au yametulia kwenye uso wa dunia ?

Pressure chini ya maji ni kutokana na uzito wa safu ya maji iliyo juu yake. Kila mara unapozama ndani ya maji, kina kinazidi kuongezeka na uzito wa maji juu yako unaongezeka. Hii husababisha kuongezeka kwa pressure kwa sababu uzito wa maji unaendelea kuongezeka na inasukuma mwili wako kutoka pande zote. Kwa hivyo, shinikizo chini ya maji linazidi kuongezeka kadiri kina linavyoongezeka.

Umbali waliokuwa we zama ni km 3.81,
Kwa kawaida binadam anaweza dive 18 meters bila oxygen tanks, akiwa na oxygens ni meter 66m. Zaidi ya hapo lazima wawe ndani ya vehicle, chombo kinavyoshuka chini zaidi pressure ya mgandamizo inazidi kuongezeka
 
Huu utalii mwingine ...haufai

Ova
 
Walikuwa wanasubiri masaa 99 yaishe kisha wakatoa taarifa za kifo kwamba kupasuka kwa hiyo submarine ya OceanGate kutokana na hali mbaya ya bahari ndiko kumepelekea vifo vya hao watu.
 
Ila haijalipuka(explode) wanasema implode Kiswahili sijui nini ni kama kubonyezwa Pande zote..
Pressure chini ya Maji ni kubwa mno hakingeweza kulipuka...

CEO naye alikuwepo Kwangu ameweka mfano mzuri ametengeza akajaribu mwenyewe...
Hata miili ya marehemu itakua ilisagwasagwa kabisa, bahari ni hatari sana kwenye kina kirefu.
 
Wa
Fe tu who care?
 
Tusubiri tenaa movie sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…