Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
MeAns kama walisagwa au kubanwa chapIla haijalipuka(explode) wanasema implode Kiswahili sijui nini ni kama kubonyezwa Pande zote..
Pressure chini ya Maji ni kubwa mno hakingeweza kulipuka...
CEO naye alikuwepo Kwangu ameweka mfano mzuri ametengeza akajaribu mwenyewe...
Wazungu wabishi sana, wataenda tena nakwambiaHawataenda tena huko
Kuna nini?Fungua pm yako
Kifo cha kupoteza pumzi kinatisha sana.
Sometimes unaweza kukuta walikuwa wana wish wangekuwa na bastola waweze kufa bila mateso.
Haikupewa uzito na nani? Tuanzie hapo kwanza, mambo mengine tatizo linakua sisi wenyewe waafrika matatizo yetu hatuyapi uzito badala yake tutaka wazungu ndio wayape uzito.
Wapumzike salama...Kifo cha kwenye maji daah. Unakufa unajiona kabisa
Binadamu anaweza kufanya mawasiliano na kituo cha ISS kilichopo kilomita 400 nje ya dunia,anaweza kuwasiliana na kucontrol James Web Space Telescope iliyopo kilomita milioni na nusu kutoka dunia, anaweza kupata sauti na data nyingine kutoka Voyager 1 iliyopo zaidi ya kilomita billion 12 kutoka duniani.
Lakini Binadamu huyo huyo kwa muda wa siku nne ameshindwa kupata data zozote za maana kutoka kwenye chombo kilicho takribani kilomita 3.8 tu chini ya bahari.
Tunahitaji kujitafakari.
Rest in Peace Titan Crew.
Ila haijalipuka(explode) wanasema implode Kiswahili sijui nini ni kama kubonyezwa Pande zote..
Pressure chini ya Maji ni kubwa mno hakingeweza kulipuka...
CEO naye alikuwepo Kwangu ameweka mfano mzuri ametengeza akajaribu mwenyewe...
hawa wazungu wamekufa kijinga walipaswa kumwamini Mungu yupo,sababu hasa ya kuzama kwa meli ya titanic miaka hiyo ni kibri ya babu zao kupongezana kwamba hii meli ilivyotengenezwa kwa ustadi mkuu hata Mungu hawezi kulizamisha, muda mchache tu baadaye ngoma ika-immersed completelyView attachment 2665774
Kampuni ya OceanGate inayohusika na huduma za uwezeshaji na ukodishaji wa Nyambizi (Submarine) kwaajili ya shughuli za wa utalii, viwanda, utafiti na ugunduzi imesema hadi sasa inaamini kuwa abiria waliokuwa ndani ya Titan wamepoteza maisha.
hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku 4 zimepita tangu kutowekwa kwa Nyambizi hiyo ilikuwa ikifanya Utalii katika eneo yalipo mabaki ya Meli ya Titanic iliyozama mwaka 1912 na kuua zaidi ya watu 1,500.
Taarifa za wachunguzi pia zinaeleza kuwa hakuna matumaini ya kuweza kupatikana kwa miili ya abiria watano waliokuwemo ndani ya nyambizi ndogo ya Titan kwasababu kuna kila dalili Nyambizi ya Titan ililipuka ndani ya maji.
"Haya ni mazingira ya mabaya," anaongeza.
View attachment 2665778
=====
OceanGate said Thursday that it believes the passengers of the Titanic-bound submersible have βsadly been lost,β according to a statement from the company.
βWe now believe that our CEO Stockton Rush, Shahzada Dawood and his son Suleman Dawood, Hamish Harding, and Paul-Henri Nargeolet, have sadly been lost,β the company said in a statement.
βThese men were true explorers who shared a distinct spirit of adventure, and a deep passion for exploring and protecting the worldβs oceans,β according to the statement. βOur hearts are with these five souls and every member of their families during this tragic time. We grieve the loss of life and joy they brought to everyone they knew.β
The company added:
βThis is an extremely sad time for our dedicated employees who are exhausted and grieving deeply over this loss. The entire OceanGate family is deeply grateful for the countless men and women from multiple organizations of the international community who expedited wide-ranging resources and have worked so very hard on this mission. We appreciate their commitment to finding these five explorers, and their days and nights of tireless work in support of our crew and their families.
This is a very sad time for the entire explorer community, and for each of the family members of those lost at sea. We respectfully ask that the privacy of these families be respected during this most painful time.β
Usimkatishe tamaa jamaaNipo babangu
Kivipi sasa πUsimkatishe tamaa jamaa
Akuite mrembo, badala ya kumwita dear unamwita baba?!Kivipi sasa π
ππAkuite mrembo, badala ya kumwita dear unamwita baba?!
Inawezekana.Je kama Wameuawa?
Si ndio wale ambao waarabu walienda kuwaokoaWazungu bhana, yaani wabaguzi sana, majuzi hapa Waafrika wamezama na Jahazi lao bahari ya Mediterania, lkn habari hiyo haikupewa uzito wa maana.
nimekusoma kwa mbaaaaali β¦Pressure chini ya maji ni kutokana na uzito wa safu ya maji iliyo juu yake. Kila mara unapozama ndani ya maji, kina kinazidi kuongezeka na uzito wa maji juu yako unaongezeka. Hii husababisha kuongezeka kwa pressure kwa sababu uzito wa maji unaendelea kuongezeka na inasukuma mwili wako kutoka pande zote. Kwa hivyo, shinikizo chini ya maji linazidi kuongezeka kadiri kina linavyoongezeka.
Umbali waliokuwa we zama ni km 3.81,
Kwa kawaida binadam anaweza dive 18 meters bila oxygen tanks, akiwa na oxygens ni meter 66m. Zaidi ya hapo lazima wawe ndani ya vehicle, chombo kinavyoshuka chini zaidi pressure ya mgandamizo inazidi kuongezeka
Kilishawahi kukukuta πKifo cha kupoteza pumzi kinatisha sana.
Sometimes unaweza kukuta walikuwa wana wish wangekuwa na bastola waweze kufa bila mateso.
Hiv kilometa 4 unazijua unaweza ukatoka chini ya bahari kilometa 4 na ukapona yaan tuachane na hiyo presha tusasa hiyo chombo ilishawahi kwenda na kurudi ?
na presha inatokea wapi ? kwani maji ya bahari yanatembea kama ya mito au yametulia kwenye uso wa dunia ?