Abiria warukia madirishani baada ya basi la mwendokasi kukamatwa na polisi kisa kuzidisha abiria

Abiria warukia madirishani baada ya basi la mwendokasi kukamatwa na polisi kisa kuzidisha abiria

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa madai ya kuzidisha abiria kupita kiasi.

Tukio hilo lilitokea leo asubuhi, majira ya 08:25, ambapo abiria hao walikuwa wakitokea Kimara kuelekea katikati ya jiji.

Baadhi ya abiria walikuwa wametokeza vichwa na sehemu za miili yao nje ya madirisha na wengine kukaa juu ya basi hilo huku wakiimba nyimbo mbalimbali, zikiwemo zenye maneno ya malalamiko kama vile "hatumtaki!"

Chanzo cha hali hiyo kinadaiwa kuwa ni changamoto kubwa ya usafiri katika maeneo ya Kimara na Mbezi, ambapo abiria wanasema wamekuwa wakikaa vituoni kwa muda mrefu tangu alfajiri bila kupata magari ya kutosha kuwapeleka mjini

1758712828131.jpeg

​
 
Alafu Dogo mmoja anaendesha Gari lenye thamani ya Mabasi 100 ya Mwendokasi akiwa ameketi pekee anakula kiyoyozi na ngoma ya P diddy - I need a Girl
😓
hatari sana mkuu,,, lakini wangekua wanaiba huku wanapiga kazi tusingelalamika.

sasa hawa wanapiga tu kazi hawafanyi angalia zile mwendokasi mpya za kijani za mofat, walisema baada ya wiki mojawatatoa taarifa mpaka sasahivi kimya na si mkuu wa mkoa , mamlaka, waziri wala takataka yeyote inayosema chochote na waliyapiga promo sana toka badarini mpaka vituo alafu ghafla asikia miundombinu bado tutatoa taarifa
 
Mimi ningeumbwa mzungu ningebagua na kutema mate chini kila nikiona kiumbe mwafrika. Kiumbe kisicho na akili kabisa. Kinawaza uharibifu na wizi
 
Soon hayo mabasi yatachakaa haraka kama daladala za mbagala kwa kitendo cha abiria kupitia madirishani
 
Kama abiria hawana ustaarabu kupanda mabasi hayo, watayachakaza haraka na yataonekana ni magofu na uchafu kuingia mjini
 
Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa madai ya kuzidisha abiria kupita kiasi.

Tukio hilo lilitokea leo asubuhi, majira ya 08:25, ambapo abiria hao walikuwa wakitokea Kimara kuelekea katikati ya jiji.

Baadhi ya abiria walikuwa wametokeza vichwa na sehemu za miili yao nje ya madirisha na wengine kukaa juu ya basi hilo huku wakiimba nyimbo mbalimbali, zikiwemo zenye maneno ya malalamiko kama vile "hatumtaki!"

Chanzo cha hali hiyo kinadaiwa kuwa ni changamoto kubwa ya usafiri katika maeneo ya Kimara na Mbezi, ambapo abiria wanasema wamekuwa wakikaa vituoni kwa muda mrefu tangu alfajiri bila kupata magari ya kutosha kuwapeleka mjini.

Kuongozwa na wazanzibar ni upumbavu mkubwa sana ...unatakiwa kukomeshwa mara moja ....hakuna alicho weza kukisimamia yani hata uendeshaji wa mabasi yameshindikana .. bwawa la umeme hakuna update yoyote kuhusu kuuza umeme wake ....sgr na zile behewa za gorofa zimeishia wapi bima za afya zimeshindikana ...bei ya umeme ni kama hatuna bwawa imebaki ile ile ...hivi hii serikali puuzi ilishindwa hata kufanya bei ya umeme kuwa sh 10000 unit 40?
 
Back
Top Bottom