Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Wacha uongo wewe hayo ufanywa na waislamu tu nitajie mkristo mmoja aliye fanya hayo tz
Hata wewe ukipata nafasi utafanya hayo hayo.
Hata wewe ukipata nafasi utafanya hayo hayo.
Ulitaja wafanyeje kama hakuna bus za kutosha na hiyo route haziruhusiwi gari za abiria zingine?Kama abiria hawana ustaarabu kupanda mabasi hayo, watayachakaza haraka na yataonekana ni magofu na uchafu kuingia mjini
😃😃Alafu Dogo mmoja anaendesha Gari lenye thamani ya Mabasi 100 ya Mwendokasi akiwa ameketi pekee anakula kiyoyozi na ngoma ya P diddy - I need a Girl
😓
Hawawezi kujibu na wakijibu ni kanusho.DART Mwendokasi hili likoje
Yana miaka 8 hayo toka yanunuliweSoon hayo mabasi yatachakaa haraka kama daladala za mbagala kwa kitendo cha abiria kupitia madirishani
Kwani Uislamu ndiyo umemuweka hapo punguza chuki.Wacha uongo wewe hayo ufanywa na waislamu tu nitajie mkristo mmoja aliye fanya hayo tz
Ina one kana hujawahi tumia huo usafr na hujui lolote kuhusu kimara-gerezani-kivukoni.Kama abiria hawana ustaarabu kupanda mabasi hayo, watayachakaza haraka na yataonekana ni magofu na uchafu kuingia mjini
mjuba hao abiria wakianza kupitia madirishani wataharibu hayo mabasi yatachakaa na kuonekana ni magofuUlitaja wafanyeje kama hakuna bus za kutosha na hiyo route haziruhusiwi gari za abiria zingine?
Huyo atakuwa LuchaAlafu Dogo mmoja anaendesha Gari lenye thamani ya Mabasi 100 ya Mwendokasi akiwa ameketi pekee anakula kiyoyozi na ngoma ya P diddy - I need a Girl
😓