The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Picha ipo angalia refresh tenaUngeweka kapicha
Unataka kusema nini 😀😀Ndg mwandishi nyoosha maelezo,... Hawamtaki nani?
hatari sana mkuu,,, lakini wangekua wanaiba huku wanapiga kazi tusingelalamika.Alafu Dogo mmoja anaendesha Gari lenye thamani ya Mabasi 100 ya Mwendokasi akiwa ameketi pekee anakula kiyoyozi na ngoma ya P diddy - I need a Girl
😓
Hata wewe ukipata nafasi utafanya hayo hayo.Alafu Dogo mmoja anaendesha Gari lenye thamani ya Mabasi 100 ya Mwendokasi akiwa ameketi pekee anakula kiyoyozi na ngoma ya P diddy - I need a Girl
😓
Yatachakaa au ni mikweche tayariKama abiria hawana ustaarabu kupanda mabasi hayo, watayachakaza haraka na yataonekana ni magofu na uchafu kuingia mjini
hawamtaki huyo anayejipitisha kila kona ya nchi, akifikiri Oktoba 29 kuna uchaguziNdg mwandishi nyoosha maelezo,... Hawamtaki nani?
Kuongozwa na wazanzibar ni upumbavu mkubwa sana ...unatakiwa kukomeshwa mara moja ....hakuna alicho weza kukisimamia yani hata uendeshaji wa mabasi yameshindikana .. bwawa la umeme hakuna update yoyote kuhusu kuuza umeme wake ....sgr na zile behewa za gorofa zimeishia wapi bima za afya zimeshindikana ...bei ya umeme ni kama hatuna bwawa imebaki ile ile ...hivi hii serikali puuzi ilishindwa hata kufanya bei ya umeme kuwa sh 10000 unit 40?Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa madai ya kuzidisha abiria kupita kiasi.
Tukio hilo lilitokea leo asubuhi, majira ya 08:25, ambapo abiria hao walikuwa wakitokea Kimara kuelekea katikati ya jiji.
Baadhi ya abiria walikuwa wametokeza vichwa na sehemu za miili yao nje ya madirisha na wengine kukaa juu ya basi hilo huku wakiimba nyimbo mbalimbali, zikiwemo zenye maneno ya malalamiko kama vile "hatumtaki!"
Chanzo cha hali hiyo kinadaiwa kuwa ni changamoto kubwa ya usafiri katika maeneo ya Kimara na Mbezi, ambapo abiria wanasema wamekuwa wakikaa vituoni kwa muda mrefu tangu alfajiri bila kupata magari ya kutosha kuwapeleka mjini.