Abiria warukia madirishani baada ya basi la mwendokasi kukamatwa na polisi kisa kuzidisha abiria

Kuna mwamba hapo kachomoza kichwa kwenye dirisha la kioo kilichopasuka 🔥
 
Kama abiria hawana ustaarabu kupanda mabasi hayo, watayachakaza haraka na yataonekana ni magofu na uchafu kuingia mjini
Ina one kana hujawahi tumia huo usafr na hujui lolote kuhusu kimara-gerezani-kivukoni.
Una fika kituoni saa12 kamili asbh bado Kuna kiza mpaka saa2 kasoro ndo unaona basi Hilo watu wata acha kupitia dirishan kwa mwendo huo? Kila Mmoja ana hitaji kuwahi kwenye majukumu yake
Mwendokasi nao watimizie majukumu Yao kwa kuhakikisha usafr na mabas yakutosha kuweza kuwahudumia watu kwa wakati.
 
Wao wako na maconvoy nyie mfe tuu
 
Alafu ripoti ikija limepata hasara wakati faida inaonekana wazi nyomi hii Nchi viongozi inabidi wachapwe viboko.
 
Ulitaja wafanyeje kama hakuna bus za kutosha na hiyo route haziruhusiwi gari za abiria zingine?
mjuba hao abiria wakianza kupitia madirishani wataharibu hayo mabasi yatachakaa na kuonekana ni magofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…