Abiria zaidi ya milioni 2.3 wasafiri na SGR; Makusanyo yakifikia Tsh. Bilioni 66.8

Hahah huyu naye kazi yake haijui. Dr. Janabi anazungushwa Bara zima la afrika eti awe Mkurugenzi, hatuambii anatumia pesa za nani, faida yake nini?

Mwenge unakimbizwa kila mwaka sijawahi kusikia CAG katoa report zimetumika Trilioni ngapi kuupitisha mikoa yote Tanganyika.

Tunajenga Reli na kununua vichwa kwa gharama, lakini Serikali hainunui Boti za Kwenda Zanzibar na kurudi tumemuachia muwekezaji, sasa kwanini Reli tusingemuachia muwekezaji?

Na Ndege apewe Muwekezaji, kama UDART wanataka hasara ifike kiasi gani ndio wampe DP world?
 
Je hapo, zimepigwa kiasi gani? Maana, kwa Danganyika, kila senti lazima ipitgwe tu. Ukiona kumi, jua mia zimeishapigwa iwe ni kwa sababu ya wizi wa kawaida au kuunga mkono juhudi za mitaaano teeena..
 
Atasema sh
irika linaongozwa kwa hasara ya bil blaah blaah +blaah blaah.
Bajeti si itasomwa kesho tu.
Utasikia hawa wanaomba hela kujiongeza.
Hatari sana
 
Ukweli tutaujua kwa CIG tu
 
Hongereni kwa kazi nzuri. Lakini je, sababu kubwa hasa ya treni kuzima njiani huwa ni nini na suluhu ni nini mmechukua wakuu wetu?
Kwani sababu ya transformer huku mitaani kuzima au kubutuka ni nini?
 
Chonde chonde Kadogosa lipa madeni ya waliokuwa wafanyakazi wa TRC kabla muhindi kuingia. Bado wanazungushwa hapo ofisini na wapo nje ya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…