Alikimbikia kuja kwanguInaonekana huyo kijana haumpendi ulikimbilia kwake ili ufarijiwe ila kama una uhakika huyo kijana anakupenda na yupo tayari kwenda hadi kwa wazazi olewa naye team kataa ndoa watakuponza .
Hapa unaelekea kujielezea vizuri, kwa hiyo baada ya kuvunjwa moyo ulitumia njia gani kupona ?Nlivunjwa moyo😂
Utoto bado na kunuka maziwa bado kuna kusumbua, ndio maana mna nyongwa huko kwenye majumba maiti zinakutwa zimejinyeaAkili finyu kama yako siwezi kuskiza🤌
Mwambie una majini yanataka damu yake
SorryUzuri najua kuwa ex Wangu hajui maswala ya majii forum 😂 ... Nilishtuka kidogo
Okay! ... Naelewa baada ya maumivu ya break up Huwa watu tunafanya maamuzi ya haraka sana na hutokana na kutafuta tu kujifariji japo muda ukisonga
Na ukapata neema ya kuwa healed ni kama mtu anakufungua kitamaa usoni unatambuwa hapa nilipo pia si sahihi!
Kikubwa Mimi uwe muwazi kwake na mueleze ukweli! Ukweli unaiweka watu kuwa huru.
Mimi semaji la chama Cha Majobless Nina amini kuwa some broken hearts never mend!
Mimi simiani kama Kuna siku nitakuja kupenda Tena! ... Aliumiza moyo na ameondoka na kitu cha kuwaamini Tena wanawake!
Samaleko
Unahela au unaongea tu utumbo jfUtoto bado na kunuka maziwa bado kuna kusumbua, ndio maana mna nyongwa huko kwenye majumba maiti zinakutwa zimejinyea
Badala ukae usome, u-date na watoto wenzio unasumbua wanaume serias ungekuwa mwanangu ungekula fimbo Ata kama upo chuo🥶
Asantee Mkuuu!Sorry
Nipeeni msabato😆Siku zote wanawake huwa wanapenda wanaume ambao watakaowachezea na kuwazalisha
Huyo jamaa aliyempiga matukio mpaka akachanganyikiwa ndiyo alikuwa anampenda sana.
Baada ya kupigwa matukio sana halafu inasoma 30+ ataanza kuwatafuta wanaume wenye hofu ya Mungu, wavaa mashati ya vitenge na suruali ya vitambaa😀😀😀😀
Too afraidNow utakuwa very selective
Igiza kama umefumaniwaHabari zenu
Kuna mkaka nlimkubalia kuolewa nae nlipokuwa desperate na tulipanga ndoa iwe June ata kama wazazi upande wangu hawataki....
Aliona kama bahati na kunitambulisha kwao faster..ila baada ya kuheal na desperation( bila kumtumia yeye) naona uamuzi wa kumkubali haukua sahihi kwangu
He's a 10guy but to me he is a no sitakuwa na amani kabisa.. muda simpi red flags kama zote ila Bado haoni ...
Tatizo siwezi kumwambia sitaki ndoa nae maana expectations zote kaweka Kwangu akiamini Mimi ni wake
Njia sahihi ya kukataa ndoa pamoja na kumkataa yeye ni ipi tofauti na kumwambia sitaki Wala simtaki?
Nipo team #kataa ndoa📌
Eeeh kweli focus na MunguToo afraid
Labda tu Neema ya Mungu iniangukie!
Siaminii Kwenye Mahusiano Tena!
Acha ni focus na kuujeenga UFALME wa MUNGU tu.
I'm so fast to back home!
For sure!Eeeh kweli focus na Mungu
Life is too short
We have one life
Usisahau kufurahi
AchNa na hawa wapenda matako humu jf
Heri ya mwaka huu,Wakuu msimtukane , mnataka aolewe ili akaendelee kuliwa na Wamoyo wake?.
Hapa cha msingi atuwekee hapa namba za jamaa, tumshauri jamaa