About to fall in a trap

About to fall in a trap

Inaonekana huyo kijana haumpendi ulikimbilia kwake ili ufarijiwe ila kama una uhakika huyo kijana anakupenda na yupo tayari kwenda hadi kwa wazazi olewa naye team kataa ndoa watakuponza .
Alikimbikia kuja kwangu
I don't chase men
 
Akili finyu kama yako siwezi kuskiza🤌
Utoto bado na kunuka maziwa bado kuna kusumbua, ndio maana mna nyongwa huko kwenye majumba maiti zinakutwa zimejinyea

Badala ukae usome, u-date na watoto wenzio unasumbua wanaume serias ungekuwa mwanangu ungekula fimbo Ata kama upo chuo🥶
 
Mwambie una majini yanataka damu yake
Uzuri najua kuwa ex Wangu hajui maswala ya majii forum 😂 ... Nilishtuka kidogo

Okay! ... Naelewa baada ya maumivu ya break up Huwa watu tunafanya maamuzi ya haraka sana na hutokana na kutafuta tu kujifariji japo muda ukisonga

Na ukapata neema ya kuwa healed ni kama mtu anakufungua kitamaa usoni unatambuwa hapa nilipo pia si sahihi!

Kikubwa Mimi uwe muwazi kwake na mueleze ukweli! Ukweli unaiweka watu kuwa huru.

Mimi semaji la chama Cha Majobless Nina amini kuwa some broken hearts never mend!

Mimi simiani kama Kuna siku nitakuja kupenda Tena! ... Aliumiza moyo na ameondoka na kitu cha kuwaamini Tena wanawake!

Samaleko
Sorry
 
Utoto bado na kunuka maziwa bado kuna kusumbua, ndio maana mna nyongwa huko kwenye majumba maiti zinakutwa zimejinyea

Badala ukae usome, u-date na watoto wenzio unasumbua wanaume serias ungekuwa mwanangu ungekula fimbo Ata kama upo chuo🥶
Unahela au unaongea tu utumbo jf
 
Siku zote wanawake huwa wanapenda wanaume ambao watakaowachezea na kuwazalisha
Huyo jamaa aliyempiga matukio mpaka akachanganyikiwa ndiyo alikuwa anampenda sana.
Baada ya kupigwa matukio sana halafu inasoma 30+ ataanza kuwatafuta wanaume wenye hofu ya Mungu, wavaa mashati ya vitenge na suruali ya vitambaa😀😀😀😀
Nipeeni msabato😆
 
Habari zenu

Kuna mkaka nlimkubalia kuolewa nae nlipokuwa desperate na tulipanga ndoa iwe June ata kama wazazi upande wangu hawataki....

Aliona kama bahati na kunitambulisha kwao faster..ila baada ya kuheal na desperation( bila kumtumia yeye) naona uamuzi wa kumkubali haukua sahihi kwangu

He's a 10guy but to me he is a no sitakuwa na amani kabisa.. muda simpi red flags kama zote ila Bado haoni ...

Tatizo siwezi kumwambia sitaki ndoa nae maana expectations zote kaweka Kwangu akiamini Mimi ni wake


Njia sahihi ya kukataa ndoa pamoja na kumkataa yeye ni ipi tofauti na kumwambia sitaki Wala simtaki?

Nipo team #kataa ndoa📌
Igiza kama umefumaniwa
 
Too afraid

Labda tu Neema ya Mungu iniangukie!

Siaminii Kwenye Mahusiano Tena!

Acha ni focus na kuujeenga UFALME wa MUNGU tu.

I'm so fast to back home!
Eeeh kweli focus na Mungu
Life is too short
We have one life
Usisahau kufurahi
AchNa na hawa wapenda matako humu jf
 
Back
Top Bottom