About to fall in a trap

About to fall in a trap

Mallerina kwa mujibu wa huu uzi wako si upo chuo wewe?

Anakuoaje mwezi wa sita wakati utakuwa unafanya UE!!
Unataka tuhitimishe kuwa hii ni sturungi mkuu?🤣
 
At least me and you are in the same boat
Hiki hiki ndicho nawaza achana na hawa washamba wananipondea na kuniita Malaya just because I want to.enjoy life and not ready to be committed to someone for a life time
Usiolewe kwasababu watu wanataka uolewe, olewa kwasababu unajiona uko tayari kuolewa na kuwa mama wa familia.

Hili ni jukwaa huru so mitazamo huwa ni tofauti na mitazamo mingi humu utaona watu wanakuponda kwasababu ya Mila na desturi za kitanzania na mambo haya bado hayajazoeleka sana huku kwetu Africa na ndio maana ndoa nyingi hazidumu kwasababu watu wanaoa au kuolewa kwa shinikizo la watu wengine.

Kwahiyo usije ukaingia kwenye huo mtego halafu ukaenda kuwa mke na mama wa ajabu katika familia yako.
 
Asante sana
Kuolewa ntaolewa muda ukifika na kama natka sio niolewe nimfurahishe mwanaume
 
Back
Top Bottom