About to fall in a trap

About to fall in a trap

Kasingo maza kingine hiki hapa, we pigwa tobo hilo likichacha utaomba poo mwenyewe.
 
Cheki hii mbususu kibuyu 🤔mshipa wa taqo una kusumbua mdogo wetu

Unakuwa kama umevunja nyungo jana
 
Mallerina kwa mujibu wa huu uzi wako si upo chuo wewe?

Anakuoaje mwezi wa sita wakati utakuwa unafanya UE!!
Chai bora. Wana wanashtukia mapema
 
Habari zenu

Kuna mkaka nlimkubalia kuolewa nae nlipokuwa desperate na tulipanga ndoa iwe June ata kama wazazi upande wangu hawataki....

Aliona kama bahati na kunitambulisha kwao faster..ila baada ya kuheal na desperation( bila kumtumia yeye) naona uamuzi wa kumkubali haukua sahihi kwangu

He's a 10guy but to me he is a no sitakuwa na amani kabisa.. muda simpi red flags kama zote ila Bado haoni ...

Tatizo siwezi kumwambia sitaki ndoa nae maana expectations zote kaweka Kwangu akiamini Mimi ni wake


Njia sahihi ya kukataa ndoa pamoja na kumkataa yeye ni ipi tofauti na kumwambia sitaki Wala simtaki?

Nipo team #kataa ndoa📌
Wee njoo tigegedane alafu akijua mzabzab kagugegeda lazima akuteme
 
.ila baada ya kuheal na desperation( bila kumtumia yeye)
Unaweza kufafanua zaidi ?
1000021699.jpg
 
Ni simple tu nipe no yako ya WhatsApp nikuforwadie pic zangu upost na caption ya "one&only " basi. Nje yahapo atakuwa mchawi.
 
Back
Top Bottom