About to fall in a trap

About to fall in a trap

Sidhani kama I can love blindly
Do not say that, hisia hazitabiriki ipo siku utaingia sehemu kujipumzisha afu utaanza kuzama kimasihara na kusema "Hivi huyu alikua wapi" kumbe the guy he is there just for fun. So just muombe Mungu tu ili uendelee ivyo ivyo kama unavyo wish.. ila meza ikipinduka your words wiĺ backfire you.
 
Go back to school if you cannot connect dots mf
1738610232270.png
 
Kuwa muwazi tu kuliko kumficha Kwann uitese roho yako
Habari zenu

Kuna mkaka nlimkubalia kuolewa nae nlipokuwa desperate na tulipanga ndoa iwe June ata kama wazazi upande wangu hawataki....

Aliona kama bahati na kunitambulisha kwao faster..ila baada ya kuheal na desperation( bila kumtumia yeye) naona uamuzi wa kumkubali haukua sahihi kwangu

He's a 10guy but to me he is a no sitakuwa na amani kabisa.. muda simpi red flags kama zote ila Bado haoni ...

Tatizo siwezi kumwambia sitaki ndoa nae maana expectations zote kaweka Kwangu akiamini Mimi ni wake

Njia sahihi ya kukataa ndoa pamoja na kumkataa yeye ni ipi tofauti na kumwambia sitaki Wala simtaki?

Nipo team #kataa ndoa📌
 
Do not say that, hisia hazitabiriki ipo siku utaingia sehemu kujipumzisha afu utaanza kuzama kimasihara na kusema "Hivi huyu alikua wapi" kumbe the guy he is there just for fun. So just muombe Mungu tu ili uendelee ivyo ivyo kama unavyo wish.. ila meza ikipinduka your words wiĺ backfire you.
Ntaingiza mguu mmoja sio yote
 
Habari zenu

Kuna mkaka nlimkubalia kuolewa nae nlipokuwa desperate na tulipanga ndoa iwe June ata kama wazazi upande wangu hawataki....

Aliona kama bahati na kunitambulisha kwao faster..ila baada ya kuheal na desperation( bila kumtumia yeye) naona uamuzi wa kumkubali haukua sahihi kwangu

He's a 10guy but to me he is a no sitakuwa na amani kabisa.. muda simpi red flags kama zote ila Bado haoni ...

Tatizo siwezi kumwambia sitaki ndoa nae maana expectations zote kaweka Kwangu akiamini Mimi ni wake

Njia sahihi ya kukataa ndoa pamoja na kumkataa yeye ni ipi tofauti na kumwambia sitaki Wala simtaki?

Nipo team #kataa ndoa📌
Dada njia rahisi ni kumwambia humtaki na huwezi kuolewa nae,njia zingine zote hazitafaa,call a spade a spade dada
 
Baada ya kijana kukutoa tongotongo na kuona wengine sasa unamuona hana maana...
Umekula hela zake, umechezea moyo wake na leo unataka kumkimbia.

Wanangu wa kataa ndoa; another 3 points to defend.
 
Tengua kauli.kwanza hana hela
Siwezi kuolewa na mwanaume mwenye mtoto
 
Huyo kijana ambaye humpendi, mpatie rafiki ako aliyeshindwa ku heal after break-up ya relatnshp yake.

Ili awe happy na kuendelea na masomo ya chuo.

Nweiiii nahisii hii ni [emoji478].
 
Back
Top Bottom