About to fall in a trap

About to fall in a trap

Huyo kijana ambaye humpendi, mpatie rafiki ako aliyeshindwa ku heal after break-up ya relatnshp yake.

Ili awe happy na kuendelea na masomo ya chuo.

Nweiiii nahisii hii ni [emoji478].
That's not.possible
We made love often
I cannot give him my bestie
 
K A T A A N D O A
Wanachukua Ushindi Tena Home And Away




Jibu
Mwambie
*Ndoa Ni Utapeli
 
Habari zenu

Kuna mkaka nlimkubalia kuolewa nae nlipokuwa desperate na tulipanga ndoa iwe June ata kama wazazi upande wangu hawataki....

Aliona kama bahati na kunitambulisha kwao faster..ila baada ya kuheal na desperation( bila kumtumia yeye) naona uamuzi wa kumkubali haukua sahihi kwangu

He's a 10guy but to me he is a no sitakuwa na amani kabisa.. muda simpi red flags kama zote ila Bado haoni ...

Tatizo siwezi kumwambia sitaki ndoa nae maana expectations zote kaweka Kwangu akiamini Mimi ni wake


Njia sahihi ya kukataa ndoa pamoja na kumkataa yeye ni ipi tofauti na kumwambia sitaki Wala simtaki?

Nipo team #kataa ndoa📌
Mambo ya watu wawili siingilii
 
Kila siku nasisitiza hapa, katika mapenzi usiwe nice guy. By nature women are problematic and chaotic, they can't survive without dramas. Ona sasa kijana mwema kajifanya yeye ndo therapist, dada watu baada ya hasira kumuisha kakumbuka hekaheka na drama za badboy wake aliechana nae
 
Mpokee pamoja na mapungufu yake utakuja kufurahia baadae
 
Back
Top Bottom