Tetesi: Abraham Moris wa Simba asaini mkataba wa awali Yanga

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Hii siyo tetesi tena
Kijana kasha sain mkataba wa awali Yanga

Japo kuwa tajiri kasema kijana avunje mkataba kabisa alipe pesa Kisha asepe, lakin kijana amekataa anasema ngoja amalizie miezi yake sita iliyobaki ndo atue jangwani

Karbu jangwani kijana ukutani na mafundi wenzio akina Edmund john

LONDON BOY
 
wamsajili hata mo we don't care.
 
Ila watu mkikosaga vya kupost.
 
Wakati Yanga inatembeza bakuli jamaa walimchukua Niyonzima, Yanga waliumia sana.
Kwasasa Yanga itafute mchezaji atakaye wauma Simba ili wapate Yale maumivu waliyopitia Yanga.

Ila kwasasa sioni mchezaji wa maana pale Simba labda Mpanzu kwa mbali.
 
Nakazia hapa
 
Sioni tofauti ya Mpanzu na Denis Nkane/ Farid Musa wakiwa kwenye prime
 
Kila uchao Yanga huwa inawaza kuibomoa tu Simba, Simba itabakia na huyo hataifanya Simba ife wala kushindwa.
 
Simba nishachoka nayo, kwa sasa hata waseme Simba itakua ndo Yanga B mi sijali as long as napumua.
 
Ila Morice ni hatari sana apate physical coach ampe mbinu za kuwa lethal dk 90 basi cafcl inatua jangwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…