ABSA Bank lipeni watu haki zao; acheni kesi zisizo na maana, mnajiaibisha!

ABSA Bank lipeni watu haki zao; acheni kesi zisizo na maana, mnajiaibisha!

secret file

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
5,843
Reaction score
8,637
ABSA bank hapana shaka mmerithi mikoba ya Barclays Bank, badala ya kuendekeza makesi yasiyo na kichwa wala miguu nawashauri lipeni watu stahili zao.
 
Back
Top Bottom