PreGE2025 Absalom Kibanda: CHADEMA hakikupaswa kususia kanuni za INEC

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.

Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.

Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.

Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).

Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.

absa.png
 
Hivi huo uchaguzi ni upi? Huu ambao mawakala wa upinzani wanatimuliwa vituo vya kupigia kura? Huu ambao Wanaopata kura nyingi kama ni wapinzani hawatangazwi? Nikimsikia msomi anabeza hoja za chadema simwelewi.Kwa maoni yangu tungekuwa na vyama serious vyote 17 vilipaswa kususia wangewaacha ccm peke yao
 
Wakuu,

Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.

Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.

Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.

Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).

Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.

TAKATAKA ZIGINE HIZI HAPA ETI MWANDISHI WA HABARI..... TAKATAKA, CHAWA MSALITI....NILIDHANI NAEKA NONO ZA SHERIA KUWA HAWATASHIRIKI KWA MUJIBU WA SHERIA, KUMBE UCHAWA
 
Wakuu,

Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.

Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.

Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.

Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).

Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.

Wale wanaopiga kelele uchaguzi ufanyike haraka haraka kabla ya kurekebisha makosa ya wazi kabisa—makosa ambayo kimsingi ndiyo yanazuia mshindi wa kweli kutangazwa—hawa jamaa kwa kweli wanatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa afya ya akili. Nahisi kichwani kwao kuna mvuke wa kamasi badala ya ubongo (na samahani kwa kusema hivyo, lakini ukinyamaza, unakua sehemu ya tatizo-muhaini Yuda iskarioti - Kwa maneno ya askofu Bagonza Jana).

Sasa mtu unajiuliza: kwa nini serikali ya CCM inapinga tume huru? Kwa nini wanatetemeka wakisikia maneno kama “uchaguzi huru na wa haki”? Hii hofu yote ni ya nini, kama kweli wanaamini wanakubalika? Ama kweli, ukweli huwa unauma.

Halafu kuna huu mchezo mchafu wa kulazimisha vyama na wagombea kusaini “maadili ya uchaguzi”—maadili ambayo, tukisema ukweli, yameundwa kwa ajili ya kuwalinda wao na kuwaumiza wengine. Ni kama mhalifu kuandika sheria za polisi. Tangu lini PGO liandikwe na watuhumiwa?

Hivi ni wapi kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandikwa kuwa ni lazima kusaini maadili haya yenye harufu ya upendeleo? Au ndo yale yale ya “sheria kwa maskini, kinga kwa wakubwa”?

Tufikie mahali tukubali: hatuwezi kuwa na uchaguzi wa maana kama tunaanza na msingi wa udanganyifu na hila. Kama mshindi wa kweli hawezi kutangazwa kwa sababu mfumo wote ni batili, basi huo si uchaguzi—ni maigizo ya kisiasa yenye tamthilia isiyochekesha.

Wale wanaopiga kelele uchaguzi ufanyike haraka haraka kabla ya kurekebisha makosa ya wazi kabisa—makosa ambayo kimsingi ndiyo yanazuia mshindi wa kweli kutangazwa—hawa jamaa kwa kweli wanatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa afya ya akili. Nahisi kichwani kwao kuna mvuke wa kamasi badala ya ubongo (na samahani kwa kusema hivyo, lakini ukinyamaza, unakua sehemu ya tatizo).

Halafu kuna huu mchezo mchafu wa kulazimisha vyama na wagombea kusaini “maadili ya uchaguzi”—maadili ambayo, tukisema ukweli, yameundwa kwa ajili ya kuwalinda wao na kuwaumiza wengine. Ni kama mhalifu kuandika sheria za polisi. Hivi ni wapi kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandikwa kuwa ni lazima kusaini maadili haya yenye harufu ya upendeleo? Au ndo yale yale ya “sheria kwa maskini, kinga kwa wakubwa”?

Tufikie mahali tukubali: hatuwezi kuwa na uchaguzi wa maana kama tunaanza na msingi wa udanganyifu na hila. Kama mshindi wa kweli hawezi kutangazwa kwa sababu mfumo wote ni batili, basi huo si uchaguzi—ni maigizo ya tamthiliya isiyofurahisha wala kuchekesha… watu lazima wagune tu wanapoingalia na kulalamika kupoteza fedha zao. Ndicho Kinacho endelea Kwa sasa .
 
well said!
 
Hakuna tume huru hapo huyu nae ni kilaza ama kajivika miwani ya mbao
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Wakuu,

Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.

Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.

Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.

Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).

Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.

Usiwe unawasikiliza hawa, ni kama Balile, mamluki wa CCM kazi zao ni tumboni. Kama Chadema wangesaini usemi wangebadirisha na kusema: Mmesaini Maadili lakini mnataka Reforms; hawa ni kama Malaya hivi, wamezoea vibahasha
 
Wale wanaopiga kelele uchaguzi ufanyike haraka haraka kabla ya kurekebisha makosa ya wazi kabisa—makosa ambayo kimsingi ndiyo yanazuia mshindi wa kweli kutangazwa—hawa jamaa kwa kweli wanatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa afya ya akili. Nahisi kichwani kwao kuna mvuke wa kamasi badala ya ubongo (na samahani kwa kusema hivyo, lakini ukinyamaza, unakua sehemu ya tatizo-muhaini Yuda iskarioti - Kwa maneno ya askofu Bagonza Jana).

Sasa mtu unajiuliza: kwa nini serikali ya CCM inapinga tume huru? Kwa nini wanatetemeka wakisikia maneno kama “uchaguzi huru na wa haki”? Hii hofu yote ni ya nini, kama kweli wanaamini wanakubalika? Ama kweli, ukweli huwa unauma.

Halafu kuna huu mchezo mchafu wa kulazimisha vyama na wagombea kusaini “maadili ya uchaguzi”—maadili ambayo, tukisema ukweli, yameundwa kwa ajili ya kuwalinda wao na kuwaumiza wengine. Ni kama mhalifu kuandika sheria za polisi. Tangu lini PGO liandikwe na watuhumiwa?

Hivi ni wapi kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandikwa kuwa ni lazima kusaini maadili haya yenye harufu ya upendeleo? Au ndo yale yale ya “sheria kwa maskini, kinga kwa wakubwa”?

Tufikie mahali tukubali: hatuwezi kuwa na uchaguzi wa maana kama tunaanza na msingi wa udanganyifu na hila. Kama mshindi wa kweli hawezi kutangazwa kwa sababu mfumo wote ni batili, basi huo si uchaguzi—ni maigizo ya kisiasa yenye tamthilia isiyochekesha.

Wale wanaopiga kelele uchaguzi ufanyike haraka haraka kabla ya kurekebisha makosa ya wazi kabisa—makosa ambayo kimsingi ndiyo yanazuia mshindi wa kweli kutangazwa—hawa jamaa kwa kweli wanatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa afya ya akili. Nahisi kichwani kwao kuna mvuke wa kamasi badala ya ubongo (na samahani kwa kusema hivyo, lakini ukinyamaza, unakua sehemu ya tatizo).

Sasa mtu unajiuliza: kwa nini serikali ya CCM inapinga tume huru? Kwa nini wanatetemeka wakisikia maneno kama “uchaguzi huru na wa haki”? Hii hofu yote ni ya nini, kama kweli wanaamini wanakubalika? Ama kweli, ukweli huwa unauma.

Halafu kuna huu mchezo mchafu wa kulazimisha vyama na wagombea kusaini “maadili ya uchaguzi”—maadili ambayo, tukisema ukweli, yameundwa kwa ajili ya kuwalinda wao na kuwaumiza wengine. Ni kama mhalifu kuandika sheria za polisi. Hivi ni wapi kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandikwa kuwa ni lazima kusaini maadili haya yenye harufu ya upendeleo? Au ndo yale yale ya “sheria kwa maskini, kinga kwa wakubwa”?

Tufikie mahali tukubali: hatuwezi kuwa na uchaguzi wa maana kama tunaanza na msingi wa udanganyifu na hila. Kama mshindi wa kweli hawezi kutangazwa kwa sababu mfumo wote ni batili, basi huo si uchaguzi—ni maigizo ya tamthiliya isiyofurahisha wala kuchekesha… watu lazima wagune tu wanapoingalia na kulalamika kupoteza fedha zao. Ndicho Kinacho endelea Kwa sasa .
 
Attachments

  • 6026540-bf15b8f6f927c72fa16d6bb328a5e41f.mp4
    14.1 MB
Wakuu,

Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.

Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.

Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.

Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).

Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.

Hao si nfiyo Maza alisema wakichavha wanampigia simu kwenda kuchukua vahasha za kaki.

Yaani badala ya kupigania reform wao wanabariki Uhuni unaofanyika.
 
Hii video huwa inanisikitisha sana kila niiona. Watu wanajimwambafai Kwa kuwaonea wengine - Yesu arudi Kwa kweli
 
Kwahiyo anarejea kilichotokea kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya akidhani CHADEMA walipoteza wakati nchi ndiyo ilipoteza including yeye mwenyewe.
Akili za waTanzania utayajua tu zimekaa ki ukilaza.
 
Walau uache legacy weee kibanda ukweli unaishi ujue. Kwanini hutaki kuwa mkweli weee mzeee.
 
Wakuu,

Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.

Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.

Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.

Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).

Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.

Pingamizi: Hoja ya Kibanda ni potofu kimantiki

1744885040252.png
​

Mhariri wa magazeti Absalom KIbanda amejenga hoja ifuatayo:
  1. Kama Chadema wangesaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume wangepata sifa ya kisheria ya kushiriki uchaguzi mkuu bila kupoteza fursa ya kuendelea na kampeni ya No reforms, no election.
  2. Lakini, kwa kukataa Kusaini Kanuni hizo Chadema wamepoteza sifa ya kisheria ya kushiriki uchaguzi kama walivyopoteza sifa ya kisheria ya kuleta mabadiliko kupitia Bunge la Katiba mwaka 2013/14 pale walipolisusia wakitarajia kuwa kususa ingekuwa sababu ya serikali kufanya baadhi ya mambo lakini serikali haikuchukua hatua yoyote.
  3. Kwa hiyo, Chadema wamefanya makosa ya kimkakati.
Dokezo la kwanza ni batili kwa kuwa kitendo cha kusaini kanuni za maadili sio chimbuko la "sifa ya kisheria" inayoiruhusu Chadema kushiriki uchaguzi mkuu." Chimbuko ni Katiba ya nchi.

Aidha, dokezo la pili ni batili kwa kuwa Chadema bado haujapoteza "sifa ya kisheria" ya kushiriki uchaguzi mkuu. Kama Chadema ikitaka, bado inao muda wa kusaini Kanuni husika.

Hata kama Chadema ikiendeleza msimamo wa kutozisaini haipotezi haki yake ya kikatiba, maana sikio haliwezi kuwa refu zaidi ya kichwa. Mtazamo na tafsiri sahihi ya kisheria ni kwamba kutosaini kanuni za maadili sio kinga ya adhabu kwa Chadema pale wakizivunja kanuni hizo wakati wa uchaguzi.

Kwa sababu hizi, hitimisho halitokani na madokezo, na hoja ya Kibanda inakosa mashiko.

Namwalika KIbanda ajielekeze kwenye hoja ya Chadema yenye muundo wa kimantiki ufuatao:

  1. Bila mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi hakuna uchaguzi huru ambao Chadema tunaweza kushiriki.
  2. Kanuni za Uchaguzi ni sehemu ya mfumo wa uchaguzi unaopaswa kufanyiwa mabadiliko.
  3. Kwa hiyo, hitimisho la kimantiki ni kwamba, Chadema wanapaswa kujitenga na kanuni za uchaguzi mbovu mpaka pale mageuzi yanayotafutwa yatakapopatikana.

Hata hivyo, Kibanda hataki kuuona ukweli huu.

Ni mwandishi mzuri na mchambuzi makini.

Lakini ni kama hawezi kufikiri kimantiki kwa sababu amejitoa ufahamu.

Anakiuka kanuni za urazini timamu kwa makusudi (principles of sound reasoning)

Lakini urazini (rationality) ndiyo sifa kuu inayotofautisha watu na wanyama hayawani kama nyani, sokwe na nguruwe.

Kwa sabau hii naona kwamba ameamua kujiweka katika kambi moja na wanyama hayawani.

Hivyo, mawazo ya Mtikila kuhusu nadharia ya APEDOMIA yanamhusu Kibanda.

Neno "apedomia" linatokana na neno la Kiingereza la APE-DOM yaani ufalme wa nyani.

Ni kama ambavyo tunatengeneza nomino kama vile kingdom, chiefdom, freedom, serfdom, Afrikanerdom, boredom.

Tujikumbushe maana ya apedomia kwa njia ya hotuba ya Mtikila wakati Kibanda anajitafakari...

Back
Top Bottom