TAKATAKA ZIGINE HIZI HAPA ETI MWANDISHI WA HABARI..... TAKATAKA, CHAWA MSALITI....NILIDHANI NAEKA NONO ZA SHERIA KUWA HAWATASHIRIKI KWA MUJIBU WA SHERIA, KUMBE UCHAWAWakuu,
Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.
Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.
Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.
Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).
Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.
NDIO UNYANI HUO ALIOUSEMA MTIKILA (RIP)Lakini pia inategemea Yuko malengo upi? Wengine kwao ni uchaguzi tu na sio uchaguzi huru na wa haki
Wakuu,
Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.
Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.
Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.
Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).
Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.
well said!Wale wanaopiga kelele uchaguzi ufanyike haraka haraka kabla ya kurekebisha makosa ya wazi kabisa—makosa ambayo kimsingi ndiyo yanazuia mshindi wa kweli kutangazwa—hawa jamaa kwa kweli wanatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa afya ya akili. Nahisi kichwani kwao kuna mvuke wa kamasi badala ya ubongo (na samahani kwa kusema hivyo, lakini ukinyamaza, unakua sehemu ya tatizo-muhaini Yuda iskarioti - Kwa maneno ya askofu Bagonza Jana).
Sasa mtu unajiuliza: kwa nini serikali ya CCM inapinga tume huru? Kwa nini wanatetemeka wakisikia maneno kama “uchaguzi huru na wa haki”? Hii hofu yote ni ya nini, kama kweli wanaamini wanakubalika? Ama kweli, ukweli huwa unauma.
Halafu kuna huu mchezo mchafu wa kulazimisha vyama na wagombea kusaini “maadili ya uchaguzi”—maadili ambayo, tukisema ukweli, yameundwa kwa ajili ya kuwalinda wao na kuwaumiza wengine. Ni kama mhalifu kuandika sheria za polisi. Tangu lini PGO liandikwe na watuhumiwa?
Hivi ni wapi kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandikwa kuwa ni lazima kusaini maadili haya yenye harufu ya upendeleo? Au ndo yale yale ya “sheria kwa maskini, kinga kwa wakubwa”?
Tufikie mahali tukubali: hatuwezi kuwa na uchaguzi wa maana kama tunaanza na msingi wa udanganyifu na hila. Kama mshindi wa kweli hawezi kutangazwa kwa sababu mfumo wote ni batili, basi huo si uchaguzi—ni maigizo ya kisiasa yenye tamthilia isiyochekesha.
Wale wanaopiga kelele uchaguzi ufanyike haraka haraka kabla ya kurekebisha makosa ya wazi kabisa—makosa ambayo kimsingi ndiyo yanazuia mshindi wa kweli kutangazwa—hawa jamaa kwa kweli wanatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa afya ya akili. Nahisi kichwani kwao kuna mvuke wa kamasi badala ya ubongo (na samahani kwa kusema hivyo, lakini ukinyamaza, unakua sehemu ya tatizo).

Halafu kuna huu mchezo mchafu wa kulazimisha vyama na wagombea kusaini “maadili ya uchaguzi”—maadili ambayo, tukisema ukweli, yameundwa kwa ajili ya kuwalinda wao na kuwaumiza wengine. Ni kama mhalifu kuandika sheria za polisi. Hivi ni wapi kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandikwa kuwa ni lazima kusaini maadili haya yenye harufu ya upendeleo? Au ndo yale yale ya “sheria kwa maskini, kinga kwa wakubwa”?
Tufikie mahali tukubali: hatuwezi kuwa na uchaguzi wa maana kama tunaanza na msingi wa udanganyifu na hila. Kama mshindi wa kweli hawezi kutangazwa kwa sababu mfumo wote ni batili, basi huo si uchaguzi—ni maigizo ya tamthiliya isiyofurahisha wala kuchekesha… watu lazima wagune tu wanapoingalia na kulalamika kupoteza fedha zao. Ndicho Kinacho endelea Kwa sasa .
Hakuna tume huru hapo huyu nae ni kilaza ama kajivika miwani ya mbaoWakuu,
Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.
Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.
Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.
Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).
Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.
Usiwe unawasikiliza hawa, ni kama Balile, mamluki wa CCM kazi zao ni tumboni. Kama Chadema wangesaini usemi wangebadirisha na kusema: Mmesaini Maadili lakini mnataka Reforms; hawa ni kama Malaya hivi, wamezoea vibahashaWakuu,
Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.
Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.
Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.
Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).
Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.
Aitolee wapi, chawa tu sawa na yule Balile!Anaataluma ya Sheria??.
Wale wanaopiga kelele uchaguzi ufanyike haraka haraka kabla ya kurekebisha makosa ya wazi kabisa—makosa ambayo kimsingi ndiyo yanazuia mshindi wa kweli kutangazwa—hawa jamaa kwa kweli wanatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa afya ya akili. Nahisi kichwani kwao kuna mvuke wa kamasi badala ya ubongo (na samahani kwa kusema hivyo, lakini ukinyamaza, unakua sehemu ya tatizo-muhaini Yuda iskarioti - Kwa maneno ya askofu Bagonza Jana).
Sasa mtu unajiuliza: kwa nini serikali ya CCM inapinga tume huru? Kwa nini wanatetemeka wakisikia maneno kama “uchaguzi huru na wa haki”? Hii hofu yote ni ya nini, kama kweli wanaamini wanakubalika? Ama kweli, ukweli huwa unauma.
Halafu kuna huu mchezo mchafu wa kulazimisha vyama na wagombea kusaini “maadili ya uchaguzi”—maadili ambayo, tukisema ukweli, yameundwa kwa ajili ya kuwalinda wao na kuwaumiza wengine. Ni kama mhalifu kuandika sheria za polisi. Tangu lini PGO liandikwe na watuhumiwa?
Hivi ni wapi kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandikwa kuwa ni lazima kusaini maadili haya yenye harufu ya upendeleo? Au ndo yale yale ya “sheria kwa maskini, kinga kwa wakubwa”?
Tufikie mahali tukubali: hatuwezi kuwa na uchaguzi wa maana kama tunaanza na msingi wa udanganyifu na hila. Kama mshindi wa kweli hawezi kutangazwa kwa sababu mfumo wote ni batili, basi huo si uchaguzi—ni maigizo ya kisiasa yenye tamthilia isiyochekesha.
Wale wanaopiga kelele uchaguzi ufanyike haraka haraka kabla ya kurekebisha makosa ya wazi kabisa—makosa ambayo kimsingi ndiyo yanazuia mshindi wa kweli kutangazwa—hawa jamaa kwa kweli wanatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa afya ya akili. Nahisi kichwani kwao kuna mvuke wa kamasi badala ya ubongo (na samahani kwa kusema hivyo, lakini ukinyamaza, unakua sehemu ya tatizo).
Sasa mtu unajiuliza: kwa nini serikali ya CCM inapinga tume huru? Kwa nini wanatetemeka wakisikia maneno kama “uchaguzi huru na wa haki”? Hii hofu yote ni ya nini, kama kweli wanaamini wanakubalika? Ama kweli, ukweli huwa unauma.
Halafu kuna huu mchezo mchafu wa kulazimisha vyama na wagombea kusaini “maadili ya uchaguzi”—maadili ambayo, tukisema ukweli, yameundwa kwa ajili ya kuwalinda wao na kuwaumiza wengine. Ni kama mhalifu kuandika sheria za polisi. Hivi ni wapi kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandikwa kuwa ni lazima kusaini maadili haya yenye harufu ya upendeleo? Au ndo yale yale ya “sheria kwa maskini, kinga kwa wakubwa”?
Tufikie mahali tukubali: hatuwezi kuwa na uchaguzi wa maana kama tunaanza na msingi wa udanganyifu na hila. Kama mshindi wa kweli hawezi kutangazwa kwa sababu mfumo wote ni batili, basi huo si uchaguzi—ni maigizo ya tamthiliya isiyofurahisha wala kuchekesha… watu lazima wagune tu wanapoingalia na kulalamika kupoteza fedha zao. Ndicho Kinacho endelea Kwa sasa .
Wakuu,
Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.
Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.
Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.
Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).
Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.
Wakuu,
Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.
Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.
Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.
Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).
Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.
Ubishi upi mkuu? Wewe yamejaa kichwani auMuda utaongea.
Chiba mavi yamejaa tumboni na ubishi wake wa kipumbavu