LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Kibanda haeleweki kabisa anachosimamiaHoja ya Absalom Kinabda imebeba Mkanganyiko wa Kimantiki
Hoja ya Chadema iko hivi:
1. Bila mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi hakuna uchaguzi huru ambao Chadema tunaweza kushiriki.
2. Kanuni za Uchaguzi ni sehemu ya mfumo wa uchaguzi unaopaswa kufanyiwa mabadiliko.
3. Kwa hiyo, hitimisho la kimantiki ni kwamba, Chadema wanapaswa kujitenga kanuni za uchaguzi mpaka pale mageuzi yanayotafutwa yatakapopatikana.
4. Lakini Kubanda anasema Chadema walipaswa kuzikubali Kanuni hizo!
Kibanda hauoni ukweli. Hawezi kufikiri kumantiki.
Urazini (rationality) ndio unatutofautisha na wanyama hayawani kama nyani, sokwe na nguruwe.
Kwa sabau hii naona mawazo ya Mtikila kuhusu nadharia ya APEDOMIA yanamhusu. Kibanda ajitafakari.
View attachment 3307143
Asante Kwa kuichimbua hii , huyu mtu RIP . Maneno kuntu sanaPingamizi: Hoja ya Absalom Kibanda imebeba Mkanganyiko wa Kimantiki
Hoja ya Chadema iko hivi:
1. Bila mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi hakuna uchaguzi huru ambao Chadema tunaweza kushiriki.
2. Kanuni za Uchaguzi ni sehemu ya mfumo wa uchaguzi unaopaswa kufanyiwa mabadiliko.
3. Kwa hiyo, hitimisho la kimantiki ni kwamba, Chadema wanapaswa kujitenga na kanuni za uchaguzi mbovu mpaka pale mageuzi yanayotafutwa yatakapopatikana.
4. Lakini Kubanda anasema Chadema walipaswa kuzikubali Kanuni hizo pamoja na ubovu wake!
Kibanda hauoni ukweli. Hawezi kufikiri kimantiki. Anakiuka kanuni za urazini timamu (principles of sound reasoning)
Lakini urazini (rationality) ndiyo sifa inayotofautisha watu na wanyama hayawani kama nyani, sokwe na nguruwe.
Kwa sabau hii naona mawazo ya Mtikila kuhusu nadharia ya APEDOMIA yanamhusu Kibanda. Ajitafakari.
View attachment 3307143
Wapinzani wenu wakitumia maneno kama haya mnawakateka,,,hamjitambui ccmMuda utaongea.
Chiba mavi yamejaa tumboni na ubishi wake wa kipumbavu
SI ni mwandishi TU kama wengine? Kwani kua mwandishi mwandamizi kama yeye kunamzuia kuropoka kamasi kama hizo?...mbona hata rais wako huongea utumbo?unataka ushahidi?Msomeni kwanza Kibanda ni Nani kwenye MEDIA !!!
Ndiyo wameshasusia iwapo mna masikitiko waambieni ccm wasikie sauti,maoni na malalamiko ya ulazima wa mabadiliko ili kifanya uchaguzi ulio huru na haki.Wakuu,
Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.
Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.
Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.
Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).
Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.
Mwaka 2020 walishiriki, ni nini walichokipata zaidi ya kutiwa hasara za kampeni.Wakuu,

Kwanini wasio wana chadema wana umia sana Chadema kutosaidi maadili potofu ya uchaguzi?Wakuu,

Hawa ndio wale walioozoea nyama na pombe za bure😅😅Anataka cdm washiriki kwa mazoea, wakitegemea kutakuwa na matokea tofauti sasa! Yaani cdm washiriki uchaguzi ili wapate sifa ya kushiriki, ama washiriki ili kupatikana kwa mshindi kutokana na box la kura?
Nakumbuka kijijini kwetu alikuwepo mbwa chongo, aliyepasuliwa jicho kwa sababu ya kuiba nyumba za watu. Huyu ''mwandishi'' alifanywa chongo na wana-CCM kwa sababu ya kula fedha za kundi moja la urais na kuligeuka. Huyu na Balile ni kama mbwa koo tu.Anaataluma ya Sheria??.
Tulia weweWapinzani wenu wakitumia maneno kama haya mnawakateka,,,hamjitambui ccm
kwa sababu mfadhili wao anakosa uhalali wa kutawala!Kwanini wasio wana chadema wana umia sana Chadema kutosaidi maadili potofu ya uchaguzi?
Hivi huyu mnafiki kumbe bado yupo?? Huyu hana tofauti na balile 🤣🤣🤣Wakuu,
Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.
Amesema kwa kusaini tu, chama kingepata fursa ya kushiriki uchaguzi huo na angeendelea kushikilia msimamo wa kampeni ya No reforms, no election.
Amesema Chadema kabla ya kufikia uamuzi wa kususia, wangerejea kilichotokea mwaka 2013/14 kwenye Bunge la Katiba.
Kibanda amesema chama hicho kilisusia kikitarajia baadhi ya mambo yangefanyika lakini haikuwa hivyo.
Mwandishi huyo aliyebobea kwenye uandishi wa habari na makala za siasa ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 16,2025 wakati akichangia mjadala wa Mwananchi X Space wenye mada isemayo: Kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 na mustakabali wa siasa za Chadema, ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL).
Aprili 12, 2025 Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima aliyesema Chadema hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na chaguzi ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni, hivyo kukosa sifa ya kushiriki mchakato huo.
NIlitegemea wewe ambaye siyo takataka ungemjibu kwa hoja. Sasa mimi nakuona wewe ni just a shithole like any other shitholes!TAKATAKA ZIGINE HIZI HAPA ETI MWANDISHI WA HABARI..... TAKATAKA, CHAWA MSALITI....NILIDHANI NAEKA NONO ZA SHERIA KUWA HAWATASHIRIKI KWA MUJIBU WA SHERIA, KUMBE UCHAWA