Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litakuwa kundi lile lile lililotaka kumpotezea mbali Dr.Harrison Mwakyembe kabla ya kuja kuona aibu ya mapokeo ya umma, wakamuacha. Dr.Mwakyembe pia ana bahati kuwa hai leo hii eti na katangaza nia sambamba na kuvchukua fomu urais
Pole Kibanda bosi wangu Kibanda. Yote mwachie Mungu, na huyo mtiania wa urais CCM anavyonuka damu yako kamwe hawezi kuingia Ikulu
Mtu kuwa muongo kwa kiwango hiki ni aibu.
Lowassa
Siasa ni adui yangu...napita hivi kwanza....ila huyu Membe nahic kuwa ndiye atakaye kuja kuwa Rais wetu.
birthday ya mwaka jana aliandika nini? au tangu apigwe mwaka ndo umeisha leo....huyu ni mnafiki sana na wengi walishamdharau
Mtu kuwa muongo kwa kiwango hiki ni aibu.
Bernard Membe huyo...alisema...katika nchi hii ana maadui 11 wawili ni wanahabari...na akiwa Rais watahama Nchi.
Poor Membe....Poor Membe...............Poor...........pooor.
Ndo maana alipigwa kumbe mtu mwenyewe ka mwanamke, apigwe tena Kibanda!
kwanza kibanda hapaswi kujiita mwenyekiti wa jukwaa la wahariri, anatakiwa kujiita kibaraka wa lowassa. Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri hawezi kusimama getini na kuchagua waandishi wa habari wa kwenda kuzungumza na lowasa. Ni hivi, wakati waandishi na wahariri walipokuwa dodoma kuzungumza na lowasa, huyu bwana alisimama mlangoni na kuanza kuchambua wa kuingia na wa kutoingia kutokana na vyombo vya habari ambavyo wanavipenda. Kwa maana hiyo, kujiita mwenyekiti wa jukwaa ni kudhalilisha taaluma ya habari.mwenyekiti gani asiyeweza kutetea waandishi wake na badala yake kuwa kiungo cha ubaguzi kwa sababu tu ya kulamba watu kisiasa? Kuna sababu gani za kulilia sheria ya kutambua uhuru wa habari wakati wanaotakiwa kuutumikia uhuru huo wakibagua waandishi wao wenyewe?
Pia, tukio la kuteswa kwake, tunawezaje kushindwa kusema pengine alibeba mke wa mtu na jamaa alilipiza kisasi kuliko anavyokimbilia kutuaminisha kwamba kuna mgombea ambaye alitaka kukatisha maisha yake? Kwa nini kama ana ushahidi huo asiende kwenye vyombo vya sheria? Nachukia sana watu wanajivika ngozi za kondoo kwa umma wakati ni mbwa mwitu tu.
Siasa ni adui yangu...napita hivi kwanza....ila huyu Membe nahic kuwa ndiye atakaye kuja kuwa Rais wetu.
nasikia alikuwa anatembea mume wako,na wewe ukome kuolewa na wanaume si riski