Van persie
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,099
- 720
Huyu si ni padri wa Anglikani,mbona nakiona kileo mbele yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kuwa muongo kwa kiwango hiki ni aibu.
Huyu si ni padri wa Anglikani,mbona nakiona kileo mbele yake.
Kwani mapadri hawanywi pombe? Wanaruhusiwa kunywa.
Mtu kuwa muongo kwa kiwango hiki ni aibu.
Mpuuzi sana huyu Kibanda, siku zote alikaa kimya ili iweje na mbona waliulizwa mara zote waliamu kuficha, ulikuwa ni uwoga ama kutuzuga watanzania?
umeonesha kiwango kikubwa cha upumbavu kumuita kibanda mpuuzi ,au kisa membe kaguswa!! poor you!!
Kwanza kibanda hapaswi kujiita mwenyekiti wa jukwaa la wahariri, anatakiwa kujiita kibaraka wa lowassa. Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri hawezi kusimama getini na kuchagua waandishi wa habari wa kwenda kuzungumza na lowasa. NI hivi, wakati waandishi na wahariri walipokuwa dodoma kuzungumza na lowasa, huyu bwana alisimama mlangoni na kuanza kuchambua wa kuingia na wa kutoingia kutokana na vyombo vya habari ambavyo wanavipenda. kwa maana hiyo, kujiita mwenyekiti wa jukwaa ni kudhalilisha taaluma ya habari.mwenyekiti gani asiyeweza kutetea waandishi wake na badala yake kuwa kiungo cha ubaguzi kwa sababu tu ya kulamba watu kisiasa? kuna sababu gani za kulilia sheria ya kutambua uhuru wa habari wakati wanaotakiwa kuutumikia uhuru huo wakibagua waandishi wao wenyewe?
pia, tukio la kuteswa kwake, tunawezaje kushindwa kusema pengine alibeba mke wa mtu na jamaa alilipiza kisasi kuliko anavyokimbilia kutuaminisha kwamba kuna mgombea ambaye alitaka kukatisha maisha yake? kwa nini kama ana ushahidi huo asiende kwenye vyombo vya sheria? nachukia sana watu wanajivika ngozi za kondoo kwa umma wakati ni mbwa mwitu tu.
Nadhani mchangiagi hajawa mpumbavu ila wewe ndo mpumbavu usiyefundishika kiasi cha kumtetea mtu ambaye kakaa kimya bila kwenda kwenye vyombo vya dola kuripoti wakati ana ushahidi wa tukio.nikuambie kwamba kumtetea kibanda unatakiwa uwe mwendawazimu.
Join Date : 11th April 2015 miezi miwili hujamaliza unaanza matusi. Hapa JF utakoma tu. Njoo polepole.Wewe ungekaa kimya tu,mchumia tumbo mkubwa.by the way kibaraka mwenzio balile mzima?