Absalom Kibanda: Mgombea Urais mmoja hakutaka nifike huu mwaka wa Uchaguzi

Pole Kibanda bosi wangu Kibanda. Yote mwachie Mungu, na huyo mtiania wa urais CCM anavyonuka damu yako kamwe hawezi kuingia Ikulu
 
birthday ya mwaka jana aliandika nini? au tangu apigwe mwaka ndo umeisha leo....huyu ni mnafiki sana na wengi walishamdharau
 
Sijaelewa lengo lake ni nini hasa na mbaya zaidi hajamtaja, anamalizia kwa kusema amemsamehe.Mambo ya kitoto haya kabisa. Eti tunawaandishi wa habari...!
 
Litakuwa kundi lile lile lililotaka kumpotezea mbali Dr.Harrison Mwakyembe kabla ya kuja kuona aibu ya mapokeo ya umma, wakamuacha. Dr.Mwakyembe pia ana bahati kuwa hai leo hii eti na katangaza nia sambamba na kuvchukua fomu urais

So huyo tu na mwandosya wakizani ndo anaandaliwa kwa kipindi hicho,wameyafanya mengi maovu na hata ccm ikiwapitisha malaika wa mungu wa mungu watalia machizi na ndo itakuwa mwisho wa ccm
 
Pole Kibanda bosi wangu Kibanda. Yote mwachie Mungu, na huyo mtiania wa urais CCM anavyonuka damu yako kamwe hawezi kuingia Ikulu

Shetani hawezi kuingia ikulu takatifu hats ccm wakijitia wendawazimu wakampitisha lkn siamini kama ccm inaweza kufanya makosa kama hayo
 
So Membe alishaenda mahakaman kulishtak New Habar????kwa kusema anahusika na kumdhuru kibander?
 
birthday ya mwaka jana aliandika nini? au tangu apigwe mwaka ndo umeisha leo....huyu ni mnafiki sana na wengi walishamdharau

Ndo maana alipigwa kumbe mtu mwenyewe ka mwanamke, apigwe tena Kibanda!
 
Bernard Membe huyo...alisema...katika nchi hii ana maadui 11 wawili ni wanahabari...na akiwa Rais watahama Nchi.

Poor Membe....Poor Membe...............Poor...........pooor.


Nani ampe nchi, hatutaki wadini sie.
Wanaimba kijamaa wanacheza kibepari wa nn.
 
Huyo kibanda asituendeshe kufuatana na matukio tukaishia kufanya collective conclusion basing on situations at hand...
Kibanda angemtaja huyo mgombea urais...
Ukweli utamweka huru...
 
Ndo maana alipigwa kumbe mtu mwenyewe ka mwanamke, apigwe tena Kibanda!

Kwa chuki hii wewe badala ya dhambi kukutafuta, wewe ndio unazitafuta ziliko. No matter what, this is not fair, unless you do not believe in God. By the way acha chuki kwa wanawake, humtendei haki mama yako kwa maneno hayo ya dharau. Leave them alone. Sijui ndo nyinyi mliojambwa badala ya kuzaliwa...
 

nasikia alikuwa anatembea mume wako,na wewe ukome kuolewa na wanaume si riski
 
KIBANDA ni mpuuzi kama wapuuzi wengine, siku hizi hakuna anayemsikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…