The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
ulimboka alivyotekwa tuliambiwa ccm sasa absalom kibanda tutaambiwa nani.
ccccccccccccccccccccccccmmmmmm!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulimboka alivyotekwa tuliambiwa ccm sasa absalom kibanda tutaambiwa nani.
Polisi waanze uchunguzi na gazeti la Tanzania Daima na Chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.
.....
Sikushangaa kama nitapata jibu kama hili kwa sababu ujumbe wako ulikuwa unaashilia jinsi kina chako cha uelewa wa mambo yanayohitaji pembuzi pevu kilivyo kidogo.Nilielewa tu hauwezi kunielewa kwa hizo akili zako za pale ''Lumumba''. Hata hivyo nashukuru wenye fikra huru wamenisoma.
Cku zote polisi huanzia uchunguzi pale penye maadui wa majeruhi. Tanzania Daima ni mahali muafaka, ijulikane kwa nini aliondoka tena ghafla huku akiwa tegemeo kubwa la gazeti hilo?
Kama alifuata dau Habari Corporation, haiingii akilini kuwa mtu muhimu namna hiyo Tanzania Daima walishindwa kumlipata ili wam retain. Kuna jambo hapo, usi we mbishi bila kisa.
Sasa umejuaje kama ni majambazi? We Mama vipi??watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.
hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake
Mkuu Ng'wamapalala huko sawa kabisa hao sio malaika, ili kuondoa kutokuaminiana kati ya wafanya uchunguzi na wasubiri matokeo naomba iundwe tume.(hapa kidogo tutaamini maana tume inaundwa na MITUME hawa jamaa wako karibu na Malaika) ili kubaini kwanini chunguzi nyingi zinaleta majibu yasiyoaminika/kubalika na walio wengi.Mkuu sijui una maana gani unaposema MAJIBU SAHIHI. Tatizo watu wanakuwa tayari na conclusion zilizojengwa na theory or conjecture bila evidence, hata majibu sahihi (matokeo) ya chunguzi yanapotolewa na vyombo husika inakuwa ni vigumu kuamini. Tunahitaji jamii iwe na open eyes.
Taasisi zinazochunguza siyo maraika kwa maana kuwa navyo vinaweza kufanya makosa ya hapa na pale katika chunguzi zao lakini haiwezi kuharalisha kila tukio jamii iwe na majibu bila uchunguzi mbadala.
Sasa umejuaje kama ni majambazi? We Mama vipi??
......
Mkuu sijui una maana gani unaposema MAJIBU SAHIHI. Tatizo watu wanakuwa tayari na conclusion zilizojengwa na theory or conjecture bila evidence, hata majibu sahihi (matokeo) ya chunguzi yanapotolewa na vyombo husika inakuwa ni vigumu kuamini.
Tunahitaji jamii iwe na open eyes.
Taasisi zinazochunguza siyo maraika kwa maana kuwa navyo vinaweza kufanya makosa ya hapa na pale katika chunguzi zao lakini haiwezi kuharalisha kila tukio jamii iwe na majibu bila uchunguzi mbadala.
......