Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

Mungu ampe kupona haraka mpiganaji.

Na hao wadhalimu waliomfanyia hivyo Mungu akawaangazi.
 
our almighyt Lord will cure our hero!long live Kibanda!Prayers are with you!

Kuna shemeji yangu anafanya MOI amesema jamaa yuko kwenye hali mbaya sana. Halafu nikikumbuka kuwa alizaliwa siku moja na Chavez, nashindwa kabisa kujizuia kusikitika.
 
get well soon.
nina wasiwasi na kasi ya upelelezi ya jeshi letu
wasije wakakimbilia kutoa hitimisho hasi na dhaifu kama wahusika ni wadosi walewalewe ulimboka ambao hawajulikani
ukiangalia watesaji wake wamemtoboa jichom kumtoa meno mawili na kumtoa kucha,karibia na alivofanyiwa ULIMBOKA
kuna mtandao hapa unahusika na inawezekana wakawa ni wale wale waliotumwa kwa ulimboka.
hapa kazi rahisi kuwajua
 
Mkuu Ng'wamapalala huko sawa kabisa hao sio malaika, ili kuondoa kutokuaminiana kati ya wafanya uchunguzi na wasubiri matokeo naomba iundwe tume.(hapa kidogo tutaamini maana tume inaundwa na MITUME hawa jamaa wako karibu na Malaika) ili kubaini kwanini chunguzi nyingi zinaleta majibu yasiyoaminika/kubalika na walio wengi.
Mkuu ninakubaliana na wewe kabisa. Tume huru mara nyingi huwa inakuja na majibu huru na mbadala lakini vile vile kumbuka hili swala linaangukia kwenye kundi la crime ambalo taasisi iliyopewa mamlaka ya kushughulikia kisheria ni polisi.

Rais hawezi kuunda tume kutafuta waliomteka na kumtia majeraha Absalom Kibanda bali anaweza kuunda tume kuchunguza sababu ya polisi kushindwa kuwapata hao watu na kwa nini kumeanza kuwepo matukio ya utekaji nchini.
 
kosa kubwa waandishi wa habari ambalo walilifanya ni kwenye tukio la ulimboka na mwangosi hamkusimama kidete mligawanyika na msipoangalia mtakufa wote,waandishi ambao wapo salama ni wa UHURU na JAMBO LEO tu.nitaeleza siku nyingine sababu zake kwa kuwa upelelezi wangu haujafika mwisho.
 
"...kwa mujibu wa taarifa toka kwa Kamanda K, waliohusika na tukio hili ni majambazi aina ya NINJA toka nchi jirani ya Malawi!!!" Tusishangae kusikia hili kwa maana wameishiwa ya kusema...

My poor country - a Mafioso state...

POLE Kibanda, ni gharama ya mapambano hii...

na damu zote zilizomwagika katika kusaka haki,utu na amani na zikawe chachu ya mabadiliko katika nchi yetu,R.I.P sokoine,wangwe,chifupa,mwangosi,pole kibanda
 
Mengi yamesemwa kuhusiana na kupigwa hadi kujeruhiwa vibaya kwa Mhariri Kibanda. Swali ambalo wengi wanajiuliza ni chanzo cha tukio hilo la kinyama. Kwa wale wanaofuatilia mambo kwa karibu, kuna uwezekano mkubwa sana chanzo kuwa nafasi aliyopewa New Habari, hatua ambayo ilimfanya binadamu aitwaye Prince Bagenda kujikuta hana kazi. Kwa hiyo inawezekana kabisa Bagenda anafahamu kila kitu, na hata watesaji wa Kibanda si wahuni au majambazi, bali ni watu wa "system" kama alivyo Bagenda. Pia Bagenda kwa zaidi ya wiki inasemekana haonekani ofisini. Pia Bagenda baada ya kuvuliwa madaraka, wapashaji wanasema amewahi kutamba kuwa yeye ni trained soldier and a murderer as well. Tusipuuze hata kidogo dokezo hili. Mungu mponye Kibanda, ili arejee ulingoni.
 
Mkuu ninakubaliana na wewe kabisa. Tume huru mara nyingi huwa inakuja na majibu huru na mbadala lakini vile vile kumbuka hili swala linaangukia kwenye kundi la crime ambalo taasisi iliyopewa mamlaka ya kushughulikia kisheria ni polisi.Rais hawezi kuunda tume kutafuta waliomteka na kumtia majeraha Absalom Kibanda bali anaweza kuunda tume kuchunguza sababu ya polisi kushindwa kuwapata hao watu na kwa nini kumeanza kuwepo matukio ya utekaji nchini.
Vyovyote iwavyo.Tatizo zinaundwa tume za (wasio huru) watumia Tumbo badala ya mitume (walio huru) watumia Vichwa. Hivyo huwa wanaenda kuzuga huku wakiwa na majibu toka kwa bosi wao anayewatuma huku wakiwazia POSHO badala ya wajibu wao.Ebu kuwa mwazi
1.Uchunguzi wa Kifo cha mwangosi ulisaidia nini au kuleta majibu gani kwa matatizo yaliyopo kwa wanahabari na wanasiasa?.
2.Uchunguzi wa kutekwa kwa Ulimboka ulieleza sababu ya kutekwa kwake?.
3.Kuvamiwa na Kumwagiwa tindikali S. Kubenea!.
4.Kupakwa sumu viongozi wetu waandamizi.
5.Kuuwawa kwa Barlow.
Kwa uchache tu, Pengine tungefanya vizuri katika chunguzi za hayo matukio tungeweza kuzuia matukio mengine yasitokee.Ndugu Ng'wamapalala polisi wetu wanatuumiwa Kariakoo milioni 150,000,000/=, Lunzewe milioni 300,000,000/=. matukio yote wakitumia silaa na mipango ya siri kubwa.
Kwanini wasiweze kumteka mtu atakayeonekana kuwatafiti katika mambo yao?.
In English they say; Insanity is keep doing the same thing in a same way expecting different results!.Are we all INSANE?. Nooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!.
 
Mengi yamesemwa kuhusiana na kupigwa hadi kujeruhiwa vibaya kwa Mhariri Kibanda. Swali ambalo wengi wanajiuliza ni chanzo cha tukio hilo la kinyama. Kwa wale wanaofuatilia mambo kwa karibu, kuna uwezekano mkubwa sana chanzo kuwa nafasi aliyopewa New Habari, hatua ambayo ilimfanya binadamu aitwaye Prince Bagenda kujikuta hana kazi. Kwa hiyo inawezekana kabisa Bagenda anafahamu kila kitu, na hata watesaji wa Kibanda si wahuni au majambazi, bali ni watu wa "system" kama alivyo Bagenda. Pia Bagenda kwa zaidi ya wiki inasemekana haonekani ofisini. Pia Bagenda baada ya kuvuliwa madaraka, wapashaji wanasema amewahi kutamba kuwa yeye ni trained soldier and a murderer as well. Tusipuuze hata kidogo dokezo hili. Mungu mponye Kibanda, ili arejee ulingoni.

Ni haki yako kutoa maoni lakini kumtuhumu mtu bila ushaidi ni kosa.
 
Mkuu una ushahidi ambao unamweka mtu uliyemtaja au umeamua kumtaja tuu
Maana ni bora usingetaja jina la mhusika ila wewe umejiaminisha kabisa kumtaja na jina
 
Haya mambo yanatokea sana system inapokuwa imefeli.hapa itaundwa tume! Waandishi mjifunze ili msimamie haki maana huwezi jua kesho ni nani!

Chama tawala kimefeli muda mrefu!
 
Back
Top Bottom