Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
our almighyt Lord will cure our hero!long live Kibanda!Prayers are with you!
MUNGU amponye haraka
Mkuu ninakubaliana na wewe kabisa. Tume huru mara nyingi huwa inakuja na majibu huru na mbadala lakini vile vile kumbuka hili swala linaangukia kwenye kundi la crime ambalo taasisi iliyopewa mamlaka ya kushughulikia kisheria ni polisi.Mkuu Ng'wamapalala huko sawa kabisa hao sio malaika, ili kuondoa kutokuaminiana kati ya wafanya uchunguzi na wasubiri matokeo naomba iundwe tume.(hapa kidogo tutaamini maana tume inaundwa na MITUME hawa jamaa wako karibu na Malaika) ili kubaini kwanini chunguzi nyingi zinaleta majibu yasiyoaminika/kubalika na walio wengi.
"...kwa mujibu wa taarifa toka kwa Kamanda K, waliohusika na tukio hili ni majambazi aina ya NINJA toka nchi jirani ya Malawi!!!" Tusishangae kusikia hili kwa maana wameishiwa ya kusema...
My poor country - a Mafioso state...
POLE Kibanda, ni gharama ya mapambano hii...
Yule Mkenya Amerudi tena kuwadhulu na kuwateka watu @ kova
Tumia dettolKuna shemeji yangu anafanya MOI amesema jamaa yuko kwenye hali mbaya sana. Halafu nikikumbuka kuwa alizaliwa siku moja na Chavez, nashindwa kabisa kujizuia kusikitika.
Vyovyote iwavyo.Tatizo zinaundwa tume za (wasio huru) watumia Tumbo badala ya mitume (walio huru) watumia Vichwa. Hivyo huwa wanaenda kuzuga huku wakiwa na majibu toka kwa bosi wao anayewatuma huku wakiwazia POSHO badala ya wajibu wao.Ebu kuwa mwaziMkuu ninakubaliana na wewe kabisa. Tume huru mara nyingi huwa inakuja na majibu huru na mbadala lakini vile vile kumbuka hili swala linaangukia kwenye kundi la crime ambalo taasisi iliyopewa mamlaka ya kushughulikia kisheria ni polisi.Rais hawezi kuunda tume kutafuta waliomteka na kumtia majeraha Absalom Kibanda bali anaweza kuunda tume kuchunguza sababu ya polisi kushindwa kuwapata hao watu na kwa nini kumeanza kuwepo matukio ya utekaji nchini.
Mengi yamesemwa kuhusiana na kupigwa hadi kujeruhiwa vibaya kwa Mhariri Kibanda. Swali ambalo wengi wanajiuliza ni chanzo cha tukio hilo la kinyama. Kwa wale wanaofuatilia mambo kwa karibu, kuna uwezekano mkubwa sana chanzo kuwa nafasi aliyopewa New Habari, hatua ambayo ilimfanya binadamu aitwaye Prince Bagenda kujikuta hana kazi. Kwa hiyo inawezekana kabisa Bagenda anafahamu kila kitu, na hata watesaji wa Kibanda si wahuni au majambazi, bali ni watu wa "system" kama alivyo Bagenda. Pia Bagenda kwa zaidi ya wiki inasemekana haonekani ofisini. Pia Bagenda baada ya kuvuliwa madaraka, wapashaji wanasema amewahi kutamba kuwa yeye ni trained soldier and a murderer as well. Tusipuuze hata kidogo dokezo hili. Mungu mponye Kibanda, ili arejee ulingoni.
Ni haki yako kutoa maoni lakini kumtuhumu mtu bila ushaidi ni kosa.