Hydrobenga
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 1,127
- 212
dr mwakyembe-sumu= mbeya
prof mwandosya-sumu=mbeya
ndg mwangosi -bomu=mbeya
dr ulimboka-kipigo kikali=mbeya
ndg kabanda -kuvamiwa =mbeya
whats wrong with mbeya especially kwa wanyakyusa tu
tutafakari kwa pamoja pasipo kuweka dhana ya ukabila ila tujiulize kwanini mbeya na wanyakyusa tu?
Kuna shemeji yangu anafanya MOI amesema jamaa yuko kwenye hali mbaya sana. Halafu nikikumbuka kuwa alizaliwa siku moja na Chavez, nashindwa kabisa kujizuia kusikitika.
Polisi lazima waanze na Tanzania Daima kwamba wewe ndio IGP unayetowa amri hii au DCI Robert Manumba? upuuzi wa Nape na Lumumba yenu umekufanya umekuwa kipofu hata kushindwa kujuwa kuandika No wonder Division zero 60%.Polisi lazima waanze na Tanzania Daima katika upelelezi.
Chadema ni genge hatari sana,polisi angalieni kwa umakini sana kuna mkono wa Chadema hapo
Nashukuru kwa mchango wako Mkuu,
Kuna mambo makubwa mawili ambayo yanaweza kuwa yanalengwa, moja ni kukiua chama cha CDM kwa kulinki na mambo haya ikiwa hawa wanaoropoka watakuja kusema CDM inahusika. Hapo watakuwa wamewakasirisha wananchi dhidi ya CDM. Pili kutokana na lengo lao wanajua kuwa kwa kuwakasirisha wananchi kwa CDM kufanya hayo basi inaweza kutokea jambo kubwa kwa viongozi wa CDM kwa jina la kulipiza kisasi na tamko likitolewa na hawa wanausalama hakuna mwenye kubisha. Mbinu hizi huanzia mbali sana hadi kumfikia mlengwa, hawa wengine ni "Mbinu za Midani" au Camouflage, tusubiri tuone.
Polisi lazima waanze na Tanzania Daima katika upelelezi.
.......
Polisi lazima waanze na Tanzania Daima kwamba wewe ndio IGP unayetowa amri hii au DCI Robert Manumba? upuuzi wa Nape na Lumumba yenu umekufanya umekuwa kipofu hata kushindwa kujuwa kuandika No wonder Division zero 60%.
.......
Mbona unataka kutetea maasi kwa nini baada ya kuondoka Tanzania Daima ndiyo kaanza kufuata ushahidi upo inawezekana hata wewe mfuasi wa Chadema ukahusika, mimi kama mtanzania mpenda amani naliomba jeshi la polisi lianze na hawa.
.......
Kama kawaida, kwa kupitia jf, be the first to know, kuwa hivi sasa, juhudi zinafanywa kumhamisha Kibanda kwenda nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Juhudi hizi zinaratibiwa na Jukwaa la Wahariri kwa ushirikiano wa karibu na baadhi ya wadau watakao gharimia safari hiyo!.
Japo ni kawaida kwa serikali kupeleka baadhi ya wagonjwa nje ya nchi, preference ya kwanza ya serikali ni kupeleka wagonjwa India kwa sababu its cheaper kuliko Afrika Kusini ambapo gharama ziko juu!.
Hili la Kibanda kupelekwa A. Kusini, linazidi kumshabihianisha Kibanda na Dr. Dr. Ulimboka, wote walivamiwa usiku na watu wasiojulikana, wote walifanyiwa jinai ya kudhuru mwili, wote walihudumiwa kwanza MOI, na baadae kupelekwa nchini Afrika Kusini, juhudi za kwanza ni kusafirishwa kwa michango ya wadau na baadae serikali ikatumbukiza mkono wake.
Mara ya mwisho kukaa na Kibanda ni mwezi Desemba, mara tuu baada ya kuhama Tanzania Daima, tulikutanishwa mahali na mwana jf Omar Ilyas, na miongoni kwa swali kubwa langu kwa Kibanda, nilidadisi ni kwa nini amehama Tanzania Daima kuelekea Mtanzania, alichonijibu nilibaki tuu kushangaa bila kumuamini. Kwa vile jibu lile lilikuwa off the record, lakini maadam haya yamentokea, naanza to connect the dots!.
Kwa sasa, tuendelee kwanza kumtakia uponyaji wa haraka na mengine yatafuatia!.
We keep on wishing him a speedy recovery and get well soon!.
Pasco
Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kushangaa Pasco akimwagiwa Tindikali na nitakuwa wa mwisho kumpa pole kwa sababu tabia zake anatengeneza his own bomb, kushabikia vitu ambavyo hana uhakika navyo na mwisho wa siku kuwaacha watu kwenye Dilemma.Hili usiwe unaonekana mnafiki ni bora uwe una kaa kimya kabisa!
Kuna haja gani ya kuandika kwamba mliongea sababu za kutoka Tz Daima kama uwezi kuziandika hapa? Huu mchezo wenu ni wa kitoto kabisa!
Najua hizo dot ulipotaka kuziunganisha na huwezi kusema mengine zaidi!
Tunamtakia matibabu mema!
Mimi nahusika na mahuwaji ya Mollel Arusha ndio nilimpa dozi kubwa ya Viagra mpaka akafia Hotelini akiwa uchi na condom mbili.
nataka kujua asap kama kitu chenye ncha kali kilitumika au jambazi alikuwa hanaKwa hali ya kisiasa ya nchi yetu, na ukinzani uliokuwepo baina ya serikali na Wanahabari, sidhani hapa kuna sababu nyingine zaidi ya hiyo. Absalom Kibanda, amekuwa msumari mkali kwa serikali, tangu alipokuwa Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima na sasa New Habari Coorporation.
Ikumbukwe kuwa, hadi sasa ana kesi iliyoko mahakamani, kesi ya uchochezi kwa sababu ya makala iliyoandikwa na kamanda Samson Mwigamba na kuchapwa katika gazeti la Tanzania Daima wakati Bwana Kibanda akiwa bado Mhariri wa Tanzania Daima.
Ngoja tuwasikie watakavyokuja na majibu ya upelelezi wao. Ila Tanzania kwa sasa, si mahali salama sana kwa wanahabari wanaojali uzalendo na weledi wa kazi zao
Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kushangaa Pasco akimwagiwa Tindikali na nitakuwa wa mwisho kumpa pole kwa sababu tabia zake anatengeneza his own bomb, kushabikia vitu ambavyo hana uhakika navyo na mwisho wa siku kuwaacha watu kwenye Dilemma.
Huyu jamaa haambiliki, note this.
Mashambulizi haya ni style ile ile ya Kiighondu Ighondu, hapa sasa mwangaza umeshaonekana, kung'oa meno, kung'owa kucha na kutoitumia Bastola, kama wewe Pasco kweli ni Bingwa wa kuunganisha dots sasa tuunghanishe hapa kwa kauli hii kutoka kwa KIbanda mwenyewe tuone umahili wako.UPDATE/TAARIFA MPYA:
Kwa mujibu wa maelezo ya mgonjwa aliyekaririwa akizungumza kwa shida, ameeleza kuwa, majira ya usiku wakati akiingia nyumbani kwake alivamiwa na watu watatu --mmoja akiwa ameshika bastola na wawili wakiwa wameshika nondo-- ambapo alipofika nje ya nyumba yake, watu hao walilivamia gari lake, wakauvunja mlango wa gari lake, wakamtoa nje, wakaanza kumpiga vibaya sana, wakamtoa meno mawili, wakamng'oa kucha katika moja ya vidole vyake na kumtoboa jicho lake kwa nondo.