Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Sidhami kama polisi wanapotezwa kirahisi namna hii. Ingekuwa hivi basi waalifu wote wangepeta tu. Pa kuanzia wanajua na wewe utasaidia kama kawaida!Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.
Another Ulimboka style! hakuna litakalofanyika!! si akina IGHONDU wa ulimboka wako at large!! watawamaliza wote wanaopinga serikali ya Ba mwanaasha!! Nani amchunguze nani?Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Abdalom Kibanda, amekimbizwa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.
Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.
Aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.
Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake
Taarifa zaidi baadae...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Abdalom Kibanda, amekimbizwa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.
Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.
Aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.
Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake
Taarifa zaidi baadae...
Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.
Kwanini mnafikiria ofisi yake ya awali inahusika na si serikali ambayo ina kesi mahakamani dhidi yake?
Hawa watu ni very creative, wamefanya hivyo sio kwa lengo la kumuua ila kuhamisha mjadala wa matokeo mabovu ya kidato cha nne tangu tupate uhuru. Wakaleta tume no one paid attention to it, wameamua kutoka ki-Ramadhani Ighondu.
nimepata kichefuchefu niliposikia eti polisi wameunda tume ya kuchunguza tukio la kuteswa kwa ndugu kibanda mhariri mtendaji wa habari corporation.ni hawa hawa walioshindwa kusema nani kamteka na kumtesa ulimboka,kubenea na mwangosi.sioni ni kipi hasa wanachoenda kukifanya huku labda kama ni kwenda kufincha ukweli.
Hawa watu ni very creative, wamefanya hivyo sio kwa lengo la kumuua ila kuhamisha mjadala wa matokeo mabovu ya kidato cha nne tangu tupate uhuru. Wakaleta tume no one paid attention to it, wameamua kutoka ki-Ramadhani Ighondu.
Narudia. Freeman Mbowe na Godbles Lema wanajua walichomfanya Kibanda.

acha kuruka ruka wewe, elezeni ukweli kwann mmemhujumu kibanda? Mmefikiri ana siri zenu nyingi sana? Acheni umafya watanzania washakujueni uharamia wenu
Mungu amjaalie apone haraka, naiona Ze Hegi mbele ya watawala
haswaaa wewe ndiye umemaliza mkuu....umenimalizia hoja zangu kwa leo