Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.
Sidhami kama polisi wanapotezwa kirahisi namna hii. Ingekuwa hivi basi waalifu wote wangepeta tu. Pa kuanzia wanajua na wewe utasaidia kama kawaida!
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Abdalom Kibanda, amekimbizwa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.

Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.

Aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.

Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake

attachment.php

attachment.php

Taarifa zaidi baadae...
Another Ulimboka style! hakuna litakalofanyika!! si akina IGHONDU wa ulimboka wako at large!! watawamaliza wote wanaopinga serikali ya Ba mwanaasha!! Nani amchunguze nani?
 
pole sana Kibanda, nakutakia upone haraka. Poleni Jukwaa la Wahariri.

Nchi imefika pabaya.
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Abdalom Kibanda, amekimbizwa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.

Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.

Aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.

Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake

attachment.php

attachment.php

Taarifa zaidi baadae...

Hawa watu ni very creative, wamefanya hivyo sio kwa lengo la kumuua ila kuhamisha mjadala wa matokeo mabovu ya kidato cha nne tangu tupate uhuru. Wakaleta tume no one paid attention to it, wameamua kutoka ki-Ramadhani Ighondu.
 
Kang'olewa kucha, jicho limetobolewa ameng'olewa meno amepigwa na nondo kichwan hivyo kapata majeraha makubwa, hii nafikiri ni zaidi ya Ulimboka! Source BBC, ITV
 
Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.

Na ulimboka nae n tz daima..acha u...nge..umetumwa nn
 
nimepata kichefuchefu niliposikia eti polisi wameunda tume ya kuchunguza tukio la kuteswa kwa ndugu kibanda mhariri mtendaji wa habari corporation.ni hawa hawa walioshindwa kusema nani kamteka na kumtesa ulimboka,kubenea na mwangosi.sioni ni kipi hasa wanachoenda kukifanya huku labda kama ni kwenda kufincha ukweli.
 
Kwanini mnafikiria ofisi yake ya awali inahusika na si serikali ambayo ina kesi mahakamani dhidi yake?

tuko makini sana mkuu usitake kututoa kwenye ukweli kiujanja ujanja,tanzania daima na waajiri wake wa mwanzo hamtoki katika hili.tumieni janja nyingine sio hii ya kuitpia serikali.
 
Hawa watu ni very creative, wamefanya hivyo sio kwa lengo la kumuua ila kuhamisha mjadala wa matokeo mabovu ya kidato cha nne tangu tupate uhuru. Wakaleta tume no one paid attention to it, wameamua kutoka ki-Ramadhani Ighondu.

kwa hiyo katika nchi hii jambo moja likitokea jambo jingine haliwezi kuibuka na kugusa hisia za watu walio wengi? hivi Tanzania Daima na chama chao cha CHADEMa wanatueleza nini kuhusu Kibanda kuondoka kwenye nafasi ya uhariri wa gazeti hilo na kwenda Mtazania. Je Kutoka kwake kulikuwa ni kwa kheri au kulikuwa na shari ndani yake? na kama kulikuwa na shari ndani yake, je haiwezekani mpango huo ukaandaliwa na wahusika wa Tanzania Daima halafu mjadala ukahamishwa kwa kuituhumu serikali?
 
nimepata kichefuchefu niliposikia eti polisi wameunda tume ya kuchunguza tukio la kuteswa kwa ndugu kibanda mhariri mtendaji wa habari corporation.ni hawa hawa walioshindwa kusema nani kamteka na kumtesa ulimboka,kubenea na mwangosi.sioni ni kipi hasa wanachoenda kukifanya huku labda kama ni kwenda kufincha ukweli.

waachie polisi wafanye kazi yao. au na wewe ni Tanzania Daima nini maana unatoa maneno ya kejeli ili msichunguzwe
 
Hawa watu ni very creative, wamefanya hivyo sio kwa lengo la kumuua ila kuhamisha mjadala wa matokeo mabovu ya kidato cha nne tangu tupate uhuru. Wakaleta tume no one paid attention to it, wameamua kutoka ki-Ramadhani Ighondu.

acha kuruka ruka wewe, elezeni ukweli kwann mmemhujumu kibanda? Mmefikiri ana siri zenu nyingi sana? Acheni umafya watanzania washakujueni uharamia wenu
 
Narudia. Freeman Mbowe na Godbles Lema wanajua walichomfanya Kibanda.

Kama walivyomfany mwangosi na Ulimboka vile,

Hawa watu ni wabay kweli bora sheria ishikwe na umma tu maana jk anajua lakini hachukui hatua.
 
Very sad indeed...haya mambo ya kihuni naona sasa yameshamiri kweli kweli...nani anayeyatekeleza?
 
Hawa watu ni very creative, wamefanya hivyo sio kwa lengo la kumuua ila kuhamisha mjadala wa matokeo mabovu ya kidato cha nne tangu tupate uhuru. Wakaleta tume no one paid attention to it, wameamua kutoka ki-Ramadhani Ighondu.

haswaaa wewe ndiye umemaliza mkuu....umenimalizia hoja zangu kwa leo
 
acha kuruka ruka wewe, elezeni ukweli kwann mmemhujumu kibanda? Mmefikiri ana siri zenu nyingi sana? Acheni umafya watanzania washakujueni uharamia wenu

endeleeni kuruka sarakasi na taulo mbele ya wageni.hata ulimboka mlianza kurusha maneno kwa cdm.mwisho wa ubaya aibu.
 
Mungu amjaalie apone haraka, naiona Ze Hegi mbele ya watawala

yeriko jina lako ni kubwa sana hapa jukwaani, lakini kwa comment ya aina hii unajidhalilisha.....mgomvi wa kibanda anajulikana wazi, acha kujitahidi kuwadanganya watanzania....hawadanganyiki tena.
 
Back
Top Bottom