kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 938
Bujibuji, Mbuzi Mzee na Mti Mkavu pia Rutashubanyuma nyie kwangu ni Wachambuzi.Ametekwa na kujeruhiwa nyumbani kwake???
How come utekwe hapo hapo na ujeruhiwe hapo hapo na ukimbizwe hospitali?
Je ni nani aliye mteka, na ni naliyemkimbiza hospitali na ni nani aliye muokoa?
bofya: matukio-michuzi: MAKALA ILIYOZAA KESI YA KIBANDA, TAMKO LA JUKWAA LA WAHARIRI JUU YA KESI HIYO
Last edited by a moderator: