kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 938
Bujibuji, Mbuzi Mzee na Mti Mkavu pia Rutashubanyuma nyie kwangu ni Wachambuzi.Ametekwa na kujeruhiwa nyumbani kwake???
How come utekwe hapo hapo na ujeruhiwe hapo hapo na ukimbizwe hospitali?
Je ni nani aliye mteka, na ni naliyemkimbiza hospitali na ni nani aliye muokoa?
Umbeya mtupu; serikali inayoshindwa kulinda usalama wa watu wake haina maana. Elimu mmeshindwa..... Kilimo mmeshindwa........ Umeme mmeshindwa...... Afya mmeshindwa...... Hata usalama wa watu na mali zao umeshindwa? Aibu kuubwa
Nasema tena haiwezekani na kwa tanzania haiwezekani kabisaa maana watu wana visasi na wana tamaa ya kuingia madarakani kwa nguvu.
Hivyo wanatumia kila hali kuzua matukio ili ilaumiwe serikali. ila kama sote kama jamii tukiamua kukataa matendo haya na tukaweka hofu ya Mungu mbele basi hali itatulia.
nao ni mchango pia. ila unashindwa kuelewa chanzo cha tatizo unarukia kwenye matawi na matundaUmbeya mtupu; serikali inayoshindwa kulinda usalama wa watu wake haina maana. Elimu mmeshindwa..... Kilimo mmeshindwa........ Umeme mmeshindwa...... Afya mmeshindwa...... Hata usalama wa watu na mali zao umeshindwa? Aibu kuubwa
mbona akili yako haifanyi kazi vizuri? serikali ina kila kitu usalama wa taifa, polisi, jeshi, hela, wanashindwa nini kubaini watekaji kama sio wao wanaotekeleza hayo yote? kama unaonama chadema ndio wanafanya hivyo ingekuwa ametekwa napi, au hata mtoto mmoja wa kiogogo ungeona kama usalama wa taifa unafanya kazi au. Mama malichela alifanyiwa unyama morogoro waliofanya unyama huo wako wapi leo? walisakwa hata uvunguni kwa hili wala msitafute mchawi serikali ndio inahusika kwa 100%
waandishi weledi na watiifu ni wachache mkuu wengi wao ni wa bahashamkuu, kwan alikataa bahasha? nani alimpa na akaikataa? nadhani wewe unao ukweli wa tukio hili. hebu funguka uwaeleze watz kinachoendelea
Mambo ya ulimboka yameanza Tena
Kwa Kibanda kukubali kujiunga na Mwananchi Communication kwa wengine ilionekana kama ameweka wazi msimamo wake juu ya makundi yanayohasimiana ndani ya CCM na kwa msimamo huo inawezekana ikawa sababu ya kundi moja kuwa na hasira, kinyongo na chuki juu yake.
waandishi weledi na watiifu ni wachache mkuu wengi wao ni wa bahasha
Hii style waliyogundua ya kutekeleza matukio ya kiuhalifu, lazima tutakwisha kwa sababu wanajua kabisa hivi sasa serikali inachonganishwa na wananchi kwa hiyo watakuwa wakifnya kwa uhuru huku wakijua lawama ni kwa serikali, tazama huyu naye. Hivi tunafikiri tunaikomoa serikali au tunajikomoa? badala ya kuipa ushirikiano serikali katika kupambana na hawa halafu tunaendekeza siasa za kupaka matope, hakika tusipoangalia tutakwisha.tunaweza ngono na kung'oa meno ya watanzania wezetu, kuficha hela uswisi, kuimba chama chao cha matapeli cha haribu nchi
CDM inatumiwa kama kibwagizo cha wimbo lakini maudhui ya wimbo yako kwingine. Watu wanauhakika wa usalama wao wanatenda uhalifu ndani ya nchi jinsi watakavyo na hakuna anayewauliza zaidi ya kuambiwa na mamlaka husika kuwa huo sio uhalifu.CDM hawa, ndo wameona kama kwenda kwake huko anakwenda kuweka hadharani mbinu wanazozitumia CDM kuwalaghai watanzania. Mbona mpaka sasa hivi jamaa yetu mzee wa Karatu kimya? anjipanga ili akija kutunisha nyusi zake tuamini anachokisema hata kama hi hisia zake.
bila shaka wale mende wa mombasa watakuwa wanakutekenya...
waandishi weledi na watiifu ni wachache mkuu wengi wao ni wa bahasha
mbona akili yako haifanyi kazi vizuri? serikali ina kila kitu usalama wa taifa, polisi, jeshi, hela, wanashindwa nini kubaini watekaji kama sio wao wanaotekeleza hayo yote? kama unaonama chadema ndio wanafanya hivyo ingekuwa ametekwa napi, au hata mtoto mmoja wa kiogogo ungeona kama usalama wa taifa unafanya kazi au. Mama malichela alifanyiwa unyama morogoro waliofanya unyama huo wako wapi leo? walisakwa hata uvunguni kwa hili wala msitafute mchawi serikali ndio inahusika kwa 100%
he, makubwa. kwa hali hiyo wataendelea kuandamwa na matukio mabaya kwa vile kuna watu wanawaumiza kwa tamaa za bahasha